Tanzania Calls Burundi Allegation On Rwanda “Flying Rumours”

Kabavamo Asante sana mkuu. Nimeona Murutongore aka Koba aka Mchambawima wanavyo ishikia bango du. Tanzania haiwezi kusaliti mtoto wake Burundi kwa kumfurahisha jilani
Kumbe Burundi ni mtoto wa Tanzania nilikuwa sijui .
 
Jf team tunaomba muanzishe jukwaa la wanyarwanda kama ilivyo kwa manyang'au ili kuepusha fujo siku za mbeleni.
 
Kesi ya nyani unampelekea ngedere! Umemsahau GENTAMYCINE tu hapo. Huna energy ya kubishana kwa sababu hakuna cha kubishania hapo. Na pia nikuonye kutoidharau mlimani maana ndio kumetokea kina Dr kaberuka, prof Lwakabamba, prof Ijumba na wengineo wanaoendesha Rwanda. English ya mlimani haina tatizo ila ya nyie mliotoka mapori ya Uganda majuzi juzi tuna wasiwasi...

Hata kiswahili hujui vile vile. Nimesema kiingereza umekijulia chuo kikuu sijasema kiingereza cha mlimani sio kizuri..ndio maana siishii kukuita lile jina lako maalum. Mr Signature.
 
Taratibu wewe usianze kutokwa na povu. Soma sentensi hiyo tena vizuri na hayo makengeza yako labda utaelewa. Siku hizi sina energy ya kubishana na wewe. Embu niite MK254, Koba, mchambawima1, Talkandtalk, wanisaidie kukuelewesha manake najua English umejifunzia hapo mlimani.
Mtakufa kwa kihoro, Burundi ni imara na wapuuzi wote mnaowatuma kuleta vurugu Bujumbura wanaendelea kubanwa vilivyo. Hayo maneno yenu mnayomuwekea mahiga mmbaki nayo kwenye magazeti yenu ya Rwanda news.
 
Subirini tuwaletee hao wakimbizi, kelele zipungue manake najua haziwezi kuisha.
 
Hata kiswahili hujui vile vile. Nimesema kiingereza umekijulia chuo kikuu sijasema kiingereza cha mlimani sio kizuri..ndio maana siishii kukuita lile jina lako maalum. Mr Signature.
Your original post:
Taratibu wewe usianze kutokwa na povu. Soma sentensi hiyo tena vizuri na hayo makengeza yako labda utaelewa. Siku hizi sina energy ya kubishana na wewe. Embu niite MK254, Koba, mchambawima1, Talkandtalk, wanisaidie kukuelewesha manake najua English umejifunzia hapo mlimani.

enhee ulikuwa unasemaaaa???
 
Burundi yenye vita hatatusaidia kimapato kama Rwanda yenye amani
Burundi wanatuletea wahamiaji haramu na wakimbizi kwa sababu wana vita, je Rwanda yenye 'amani' wakimbizi haramu wanaokuja bongo wanakimbia nini?
 
Mtakufa kwa kihoro, Burundi ni imara na wapuuzi wote mnaowatuma kuleta vurugu Bujumbura wanaendelea kubanwa vilivyo. Hayo maneno yenu mnayomuwekea mahiga mmbaki nayo kwenye magazeti yenu ya Rwanda news.
Hahaha nani anamwekea Mahiga maneno ...weak interahamwe.
 
Back
Top Bottom