Tanx god nmefika salama

Duzente Siqwente

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
265
59
Nitoe shukran zangu za dhat kwa wa JF wote wake kwa waume kwa dua zenu kwa muda wote wa safari yangu niwatakie kila la kheri na mwnyz mungu awazidishie pale mlikopungukiwa nimesfr salama nmerd salama salmin cna cha kuwalipa mungu pekee ndo muweza wa yote na mungu awabariki sana lov u all
 
Welikamu baki ndugu. Kaa pale kwenye jamvi lako tuendelee na soga mwanawane.
 
Back
Top Bottom