R R.V.P Member Jan 7, 2013 13 0 Feb 7, 2013 #2 Kwani vipi mkuu?hata mimi nilifanya usaili dec ila matokeo bado.umeshapata habari yoyote?
R R.V.P Member Jan 7, 2013 13 0 Feb 8, 2013 #4 Tusubiri tuone yatakayotokea mkuu kwani ajira za bongo hazieleweki.
K Kapwimpwi Member Jan 22, 2013 6 1 Feb 9, 2013 #5 Hayo ni mambo ya michakato!,kwa hiyo bado wanachakatua!
N nnn Member Jun 6, 2011 41 3 Feb 9, 2013 #6 jamaa angu kapigiwa simu leo....na amepta kazi bila kujuana na m tu yoyote tena jamaa ni mwalimu
M Mzanzibar Member Sep 20, 2011 36 2 Feb 11, 2013 Thread starter #8 mbona pale hapakuwa na nafasi ya mwl hata equevalent yake? chai hiyo labda iwe kamlete