Kwani mweka mada kakuambia anaishi dar?Mnang'ang'ania Dar kuna nini cha ziada?..wenye akili zetu tulishastukia hilo mapema tukachanganya na zetu!...huh!
Wenzio akina Nape huwa wanakula flight to Arusha hawajui kuwa kama kuna foleni wewe mtetezi wao unaozea kwenye foleni. Kwa CCM foleni na vumbi ni haki yako MtanzaniaJamani wenye data mtujuze kuna tatizo gani leo kuna foleni ya ajabu tangu kibaha leo arusha sijui tutalaala njiani!!
Hadi sasa hatujafika chalinze khaaaa
pole sana labda kuna msafara wa kurudisha kura zilizoshindikana kuingizwa arumeru.
kameza huyo kila post anapinga hata kabla hajaisomaWe mbwiga kweli kwani kila anayetoka dar anaishi huko dar ndo kilakitu we utakuwa CDM tu unapinga kila kitu!