Tangu nimekuja UK kusoma, I real miss home Tanzania. I real miss Rosie

Pale unaposhtukia kuwa mleta uzi ni mange kimambi ila kwa kuwa tunatumia fake ID tunapotezea mazima.
 
My fellow Tanzanians tuna matusi sana. Watu wanatukana bila kuogopa mkono wa serikali. This is different from the UK.

Watu wamejaa wivu na husuda. Hakika hatuta piga hatua.

Kiduku Lilo ndio nani? Why are you abusing me?
 
Nilipoona tu kuwa una ID yenye Jina la Kihaya wala sijapata taabu sana Kujua Kiini cha Wewe ' Kujipromoti ' namna hii.
 
My fellow Tanzanians tuna matusi sana. Watu wanatukana bila kuogopa mkono wa serikali. This is different from the UK.

Watu wamejaa wivu na husuda. Hakika hatuta piga hatua.

Kiduku Lilo ndio nani? Why are you abusing me?
Ww mse.ng.....kingereza chako kibovu kweli!!!....eti this is different from the UK..!!?...hata kuandika: kunyoosha sentesi ya kingereza hujui.....
lima viazi huko mporoto....
 
Habari ya mawio?

Wise man once said " East or West, home is the best " kwa hakika hakuna mazingira murua kabisa kama nyumbani.

Nakumbuka niliwahi rudi nyumbani kwa ajili ya likizo. Wakati huo, nilipenda sana kusikiliza wimbo wa Juma Nature na wenzake unaoitwa "Nyumbani ni nyumbani hata iwe mashambani." Nilikuwa napenda namna walivyokuwa wanacheza na zile rasta zao chafu. Tanzania is real amazing when you look at at it from the third world point of view.

Nakumbuka nilipokuwa nasoma Oxford kuna muda ulifika nilikuwa nakumbuka sana nyumbani kwetu. It reached a time, when i remembered home, I used to go to my room at Lloyd Building, Headington Campus. Nikifika chumbani kwangu nafunga madirisha na mlango kisha naanza kulia sana.

Sikuwa nikikumbuka mazingira tulivu ya nyumbani, mitoko ya kifamilia, kuendesha gari za baba yangu wala hoteli zake za kitalii, isipokuwa nilikuwa namkumbuka Rosie. Kuna wakati nilikuwa nakosa raha nilipokuwa nikimkumbuka Rosie

Nilikuwa nakumbuka namna mdogo wangu, Anastella alivyokuwa muoga, akimuona tu Rosie anaanza kutetema. Nilikuwa natabasamu sana. Kipindi hicho tulipokuwa kindergarten tulikuwa tunapelekwa shuleni pale International School of Tanganyika na Uncle George, mmoja wa wafanyakazi wetu wa nyumbani wa kiume.

Uncle George alitupenda sana, alikuwa anatupeleka shuleni kila asubuhi na kutuleta nyumbani baada ya masomo. Alikuwa akitumia gari ya mama aina ya Range Rover 2006 ile mama anayoitumia kila jumapili tu anapokuwa anaenda St. Peters church kusali, hapa 'kijijini kwetu Oysterbay'

Huwa nacheka sana ninapokumbuka utoto wetu. Nakumbuka Annastella alikuwa analia sana kukaa siti moja na Rosie. Basi akimuona anaanza kulia sana. This was contrary to me. Mimi bila Rosie kukaa kando yangu nilikuwa siwezi kwenda shule. Kila asubuhi nilikaa nae pembeni kwenye siti za mbele.

Mara nyingi huwa nakumbuka sana vituko vya Rosie. Sema tatizo lake ni kelele, She is a noise maker. Ana tabia ya kubweka sana hasa anapokutana na uso mgeni kwake. Kuna kipindi nilienda nae kwenye sports and games jioni pale shuleni. Rafiki yangu Tom, alimkanyaga mkia wake. Lo! lo! lo! lo! Rosie alibweka sana mpaka akachukiza.

Nakumbuka Mwlalimu wa kuogelea Sir. Robert alikasirika sana akanitukana eti nitakuwa mfugaji na sio daktari, wanafunzi wenzangu walitabasamu wakati huo mimi nililia sana, nikachukia shule. Ilibidi baba anihamishe shule baada ya kuongoza darasani. Nikawa nimepelekwa kusoma UK

I real missed nyumbani Tanzania, tuwe na upendo na nyumbani.

Jambo Tanzania!

Mkuu Hiyo UK, unamaanisha kisiwa cha ukerewe au
 
Nakumbuka nilipokuwa nasoma Oxford....
Mkuu Ruta, ahsante kwa ku-share simulizi yako, lakini hapo juu umekosea kidogo... hiyo inaitwa Oxford Learner's Dictionary! Btw, ni Oxford Learner's English Dictionary nini?! Manake naona lugha ya Malkia umeichabanga vilivyo kwa hivyo visentensi vichahe ulivyotumia lugha ya Malkia!
 
Back
Top Bottom