Tangu Mbowe atoke lupango hakuna tena upinzani, wote tuna macho na tunaona kinachoendelea

Mbona swali la kawaida tu
Limekaa kikejeli. Wakati kila mwenye akili timamu anajua Lissu alikwishq kufa lakini Mungu pekee ndio alimuokoa lakini kalala kitandani miaka 2 na kwa maumivu makali sana kwa sababu ambazo ziko wazi za kupigania raia wengine.
Pse usikejeli mateso ya mtu ambaye hatia yake ni kupigania wanyonge!
 
Aliwapigia raia Kwenye issue gani mpaka ikapelekea kupigwa risasi? Mkuu nauliza tu usinielewe vibaya
 
Hivi ni lini mliwai kusimama na mbowe na upinzani kwa ujumla?

Mnataka Upinzani wakavunje ukuta wa Ikulu?

Mbowe kaa kimya, hakuna aliewai pigania wapumbavu akashinda... Wenye akili waliona nia yako na kujitolea kwako kwa ajili kupigania mazombi yaliyopo nyuma ya keypads.
Naunga mkono 100%,Wapinzani tulieni tuliiiii ,kila mtu apambane na hali yake.
 
Moja kwa moja,

Kwanza niwasifu wapinzani wote waliojitolea maisha na muda wao kuleta sera mbadala, kukosoa na kushauri serikali pale inapobidi.

Wapinzani walipitia kipindi kigumu sana hasa hasa 2015-2020, bila kusahau 2021 ambapo Kiongozi mkuu aliwekwa ndani kwa tuhuma zilizoshindwa kuthibitika mahakamani.

Tangu Mbowe ametoka lupango, upinzani wa Tanzania umepata erectile dysfunction! Hali inazidi kuwa ngumu ila wote wapo kimya, wengine wanaenda mbali wanasifu na kutukuza hali ya sasa. Hatuelewi na hatuna hakika juu ya masharti(kama yapo) aliyopewa baada ya kurudi uraiani.

Kinachoshangaza watu wengi zaidi ni kuwa japo 2015-2020 walibanwa kweli kweli na J.P.M ambaye aliitwa dikteta, wengi walijitutumua na kuonyeha makali yao hasa hasa Tundu Lissu. Ila wakati huu ambao tunategemea wawe huru kutoa maoni yao, wote wapo kimya, yaani ni mwendo wa praise and worship!

Mi nashauri tu, tutangaziwe kuna chama kimoja nchini maana hakuna maana kuruhusu vyama vingi ili watu wapate options, at the same time hakuna wazo lolote mbadala linalotoka kwenye upinzani.

Vyama vya upinzani havifanyi hata 20% ya kazi yao, sio Lissu, Mnyika wala Mbowe wote wapo kimya.

Kila mtu apambane na hali yake, hii ndio sheria mpya katika siasa za bongo.
Dikteta uchwara alitumia mitutu ya bunduki kuhakikisha Bunge lote linakuwa la CCM,mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani hadi leo hii imepigwa marufuku sasa unatawataka wapinzani hasa Chadema watumie jukwaa gani kuikosoa Serikali? Bunge limesheheni vilaza kama kina Babu Tale na wapuuzi wengine kazi Yao ni kupitisha tozo unafikiri nani atawasemea Watanzania? Nyie ndiyo mligaragara Kwa furaha kuwa CCM imepata ushindi wa kishindo na kuua upinzani sasa mayowe ya nini tena. Vitiisheti na kapelo mlizohongwa ndiyo zinawatokea puani sasa.
 
Mbowe kakaa kimya kwa sababu amepewa pesa hajawai pambania wananchi.
May be usemacho ni kweli. Nawewe fungua mdomo uwatetee waTanzania ili ulipwe ukae kimya. Platform za kufungua mdomo zipo nyingi. Unatakiwa utetee watu wanaojielewa sio watu wanaotaka wanao walie kila siku na mke wako akae kwa huzuni.
 
Hahahaha baada ya kwenda ikulu ndio hatetei wasiojielewa mnaujinga mobu
 
Unakesha na waTanzania wao wakipewa elfu kumi wanawaibia kura zoteeee. Kwani unafikiri kuna uchaguzi walimu hawajashiriki kuuiba? Watendaji wa kata na vijiji nao wamo. Humo ndimo walimo wezi wakubwa. Waacheni waTanzania kuna siku wataamka. Sharti kila mtu ajipiganie mwenyewe. Lisu kula baba, Mbowe zisakate. Hatuna shukrani. Hata Mungu waIsrael walipomuudhi sana aliwatoa kwenda utumwani. Huko wanajua walichokutana nacho. Holocaust, kutengwa na kunyanyapaliwa. Tukishanyooka Mungu atatuma mkombozi na waTanzania wataisikia sauti yake kama waIsrael walivyosikia kuitw kwao toka pande zote nne za dunia na kuirudia ardhi yao.
 
Moja kwa moja,

Kwanza niwasifu wapinzani wote waliojitolea maisha na muda wao kuleta sera mbadala, kukosoa na kushauri serikali pale inapobidi.

Wapinzani walipitia kipindi kigumu sana hasa hasa 2015-2020, bila kusahau 2021 ambapo Kiongozi mkuu aliwekwa ndani kwa tuhuma zilizoshindwa kuthibitika mahakamani.

Tangu Mbowe ametoka lupango, upinzani wa Tanzania umepata erectile dysfunction! Hali inazidi kuwa ngumu ila wote wapo kimya, wengine wanaenda mbali wanasifu na kutukuza hali ya sasa. Hatuelewi na hatuna hakika juu ya masharti(kama yapo) aliyopewa baada ya kurudi uraiani.

Kinachoshangaza watu wengi zaidi ni kuwa japo 2015-2020 walibanwa kweli kweli na J.P.M ambaye aliitwa dikteta, wengi walijitutumua na kuonyeha makali yao hasa hasa Tundu Lissu. Ila wakati huu ambao tunategemea wawe huru kutoa maoni yao, wote wapo kimya, yaani ni mwendo wa praise and worship!

Mi nashauri tu, tutangaziwe kuna chama kimoja nchini maana hakuna maana kuruhusu vyama vingi ili watu wapate options, at the same time hakuna wazo lolote mbadala linalotoka kwenye upinzani.

Vyama vya upinzani havifanyi hata 20% ya kazi yao, sio Lissu, Mnyika wala Mbowe wote wapo kimya.

Kila mtu apambane na hali yake, hii ndio sheria mpya katika siasa za bongo.
Unaonaje wewe ukaendeleza walipoishia Akina mbowe
 
Unakesha na waTanzania wao wakipewa elfu kumi wanawaibia kura zoteeee. Kwani unafikiri kuna uchaguzi walimu hawajashiriki kuuiba? Watendaji wa kata na vijiji nao wamo. Humo ndimo walimo wezi wakubwa. Waacheni waTanzania kuna siku wataamka. Sharti kila mtu ajipiganie mwenyewe. Lisu kula baba, Mbowe zisakate. Hatuna shukrani. Hata Mungu waIsrael walipomuudhi sana aliwatoa kwenda utumwani. Huko wanajua walichokutana nacho. Holocaust, kutengwa na kunyanyapaliwa. Tukishanyooka Mungu atatuma mkombozi na waTanzania wataisikia sauti yake kama waIsrael walivyosikia kuitw kwao toka pande zote nne za dunia na kuirudia ardhi yao.
Umeiweka vizuri Mbowe na Lissu baada ya kuvuta mpunga wamejenga hoja hawatetei wasiojitambua kabla ya hapo kelele kibao
 
Mkuu sheria za nchi zipo wazi na msajiri wa nyama vya siasa yupo,Kama una ona vyama vilivyopo havipiganii maslahi ya Umma ni muda kujikusanya nyie wenye mind set hiyo na kuunda chama chenu ambacho kitapigania maslahi ya umma mbona simple tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huko kote kusumbuka kaka simple ni kufanya yangu tu . Habari za kugeuzwa mtaji tupa kule
 
Mkuu Kwani lazima wafanye viongozi wa vyama vya upinzani,kwa nini usianze kufanya wewe hapo ulipo organise watu mfanye hayo maandamano kupinga hayo unayoyasema.Kwa nini unataka uganyiwe-mabadiliko yanatakiwa kuanza na wewe sio lazima upinzani.
Ni lazima mkuu. Coz wamevaa uhusika wakubeba kero zetu kumbe Wana solve zao. Kasome vizuri kazi na wajibu wa mwanasiasa na chama cha Siasa.
 
Back
Top Bottom