Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 182
mbaya sana hii
Ningekuwa ngereja nisingekubli kuwa part of that mapokezi, that was simply crap
For Ngereja that was a wrong move, hata kama alijua kuwa J-RO alimfichia siri kuwa na yeye anajua kuhusu ule waraka alitakiwa kutojiusisha mpaka apate uhakika kuwa mkuu wa kaya aliruhusu hatua ya J-RO kurudishwa job.
Lakini pia JK amefanya wrong move, kama aliona umuhimu wa kumsimamisha tena then Ngereja na Luhanjo walitakiwa kumpa company mwenzao
Mr. President need to be serious with his assistants, wanamsubortage na yeye hajui.
<br /><b><i>lete tangazo tulione kwanza halafu tujadili huu upuuzi wa serikali ...kuchezea kodi zetu kuanzia wizarani mpaka tbc1 kurusha matangazo ya dj-(dvd -jro)</i></b>
<br />Usanii mtupu!!<br />
<br />
Jamaa wamekumbatiana zero-distance ili wapigwe picha halafu wanazuga kuwa hakuja Dar kwa ajili ya Kumpokea J-Ro! Ila pia nahisi Vasco-da Gama ana mpango wa kumpa J-Ro ubalozi, Tusubiri tuone!!