Tangazo la kusudio la kugoma

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
image001.jpg

TANGAZO LA KUSUDIO LA KUGOMA:

Sisi watoto tulio na umri chini ya miaka mitatu tunakusudia kugoma ili kupata haki yetu ambayo tumeporwa na watu wasio na utu wala huruma. Inaeleweka wazi kuwa sisi ndie wenye haki ya jina la BABY. Kwa ufisadi wa hali ya juu jina letu limeporwa ambapo sasa vigogo, Mawaziri, Wabunge tena wa kambi zote, wazee sana, wazee wa kati, mapedeshe na masharobaro, mayanki na mafisadi wa jina hili wote eti nao wanaitwa BABY, hii si sawa kabisa. Tunaipa serikali siku saba kupiga marufuku matumizi ya jina hili kwa wasiohusika kinyume cha hapo, patachimbika, tutaanza kwa mgomo usio na kikomo nchi nzima na hatimae kuona namna ya kuweza kuunganisha nguvu na BABY wenzetu halali dunia nzima.

HILI NI ONYO LA MWISHO
 
Mi nilifikiri wanagomea sheratoni yao kuvamiwa na Mijibaba,Kumbe jina tu......
Pamoja na hiyo ya mleta mada, hii pia ni haki iliyoporwa na Wababa...
Najitolea kuongeza haki nyingine halali ya watoto iliyovamiwa na watu wenye manywele mwilini, zamani pipi zilikuwa zinaliwa na watoto, sasa hivi watu wazima wamevamia pipi, eti wakiziita pipi-kijiti! ... sheeeee!
 
mgomo wao ni batili kwa kuwa wao ni watoto wadogo na huduma wanapata. afu kuna watoto wakubwaaa!! kama my baby platozoom tofauti ni huduma tu hapo ila watoto wakubwa wanasumbua mwe!
 
Last edited by a moderator:
Beibe Nasty! Please come this way faster!
Naona mIcHaKaTo Na MiKuRaBitA, MiPeMbUzI yAkInIfU hapa inataka kuanza!
 
Baby wangu mpya AmyKatrina hebu njoo hapa kabla huu mchakato na upembuzi yakinifu wa mgomo haujaanza
 
Last edited by a moderator:
View attachment 61066

TANGAZO LA KUSUDIO LA KUGOMA:

Sisi watoto tulio na umri chini ya miaka mitatu tunakusudia kugoma ili kupata haki yetu ambayo tumeporwa na watu wasio na utu wala huruma. Inaeleweka wazi kuwa sisi ndie wenye haki ya jina la BABY. Kwa ufisadi wa hali ya juu jina letu limeporwa ambapo sasa vigogo, Mawaziri, Wabunge tena wa kambi zote, wazee sana, wazee wa kati, mapedeshe na masharobaro, mayanki na mafisadi wa jina hili wote eti nao wanaitwa BABY, hii si sawa kabisa. Tunaipa serikali siku saba kupiga marufuku matumizi ya jina hili kwa wasiohusika kinyume cha hapo, patachimbika, tutaanza kwa mgomo usio na kikomo nchi nzima na hatimae kuona namna ya kuweza kuunganisha nguvu na BABY wenzetu halali dunia nzima.

HILI NI ONYO LA MWISHO

naongezea hapa,wagome pia kuhusu ukosefu wa nguo zao, wadada wakubwaaa wanavaa nguo ndogooo!
 
ooh, i am missing my BABY. . . jamani wahi kurudi lolest yan ndo kwanza trh 7 leo mpk ifike trh 32 ntakuwa nimefaint. . . come'on BABY!
 
teh,teh,...jamani nimuite nani BABY kabla mgomo haujafanyiwa kazi,nan charminglady nipe nafas bas uwe BABY wangu

shuntu, nina baby wangu wa ukwee kaujaza moyo wangu mpaka umebana. wako ntauweka wapi? may be nikuhifadhi kwenye utumbo mpana na hapo utakuwa na hati hati ya kusukumwa mpk kunakohifadhiwa k*****si. . . je upo tayari?
 
Last edited by a moderator:
hlo nanlo neno lol, ingawa kuna wakaka nao wameanza kukimbizana na wadada kwenye hlo mwe
naongezea hapa,wagome pia kuhusu ukosefu wa nguo zao, wadada wakubwaaa wanavaa nguo ndogooo!
 
Halafu wewe!!

daaaaamn!!!i missed you BABY gal...u what um saying...lol:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S kiss::A S kiss:
 
Back
Top Bottom