TRA Tanzania
Member
- Jul 16, 2022
- 78
- 223
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofaulu mtihani wa mchujo na kuchaguliwa kwa ajili ya usahili wa vitendo na mahojiano unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2023 hadi tarehe 2 Novemba,2023.