Tangazo la kikao cha maandalizi ya harusi ya Ruhazwe JR na madame B

Erickb5b,Mpe! Mpe! Mpe! huyo Junior Cux mapande yake,
Naye mwambie afunge ndoa na wa kwake.
Mwenye kisu kikali...!!!

Hehehee Hope Junior. Cux ndo alitaka jibu hili...Ngoja aangalie km atapata pa kujiegesha hapa imekula kwake
 
Last edited by a moderator:
Kijino mi namuhofia Bishanga na junior. cux tu wakilewa wataleta fujo

usihofu hao ni watu wepesi mno,nimeongea na kamanda kova,kikos cha kutuliza ghasia kitakuwepo na vifaa vyote mpaka mabomu ya machozi yatakuwepo
 
Last edited by a moderator:
mwenyewe anaujua mziki wangu!utamuona atakavyokua mpole,tena hakuna mtu mwepesi kama junior .Cux
Teh vip maneno ya Madame B kukupa warning ukae chonjo kuwa kazaliwa town na atafia town usimletee za kuleta..unadhani utadumu kwenye ndoa yako?
 
Last edited by a moderator:
Mie najitolea kumpa madam B desa la kumweka Ruhazwe JR mtu kati kimahabati na kumtuliza tuli mpaka utakapomchoka mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Mi najitanganza mwenyekiti wa kamati ya vinywaji nikishirikiana na Asprin na Klorokwin


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mama chondechonde usiangushe kwenye ahadi ya wazazi ni keshokutwa wala si mbali si unajua wife mwenyewe mlibwende lazima ni mtendee haki

My son kama mke umepata dada ana shingo ya upanga macho yakuita kiuno cha tausi mguu wa bia lol mmmh dada anamulika hata ndani taa haihitajiki. jamani wakuu chereko cherekoooo.
 
My son kama mke umepata dada ana shingo ya upanga macho yakuita kiuno cha tausi mguu wa bia lol mmmh dada anamulika hata ndani taa haihitajiki. jamani wakuu chereko cherekoooo.

Aaaa! Mamndenyi shost,
yani itabidi Mume wangu atembee na Mdomo wa Kuku ndani ya gari kila mahala atakapokuwa na mimi maana huo U-shape wangu,
Balaaaa....!!!
Yani mpaka najifungia ndani kwa jinsi mtaani wanavyonikodolea macho.
 
Back
Top Bottom