Wamerundika vijana toka 2015 ... Huyu kijana leo hii lazima atakuwa na umri kati ya miaka 31 - 35.. afu wanatoa ajira wanasema mwisho mwenye umri wa miaka 30.. jamani inaumiza sanaa
Mkuu hata mimi nmeona hiyo kitu mfumo unawatema wengi kwa kete ua umri.

Mimi nashauri vijana waombe kazi, kwa upande wangu nilishachagua kukomaa kimtaa mtaa sitaki kabisa mambo ya ajira
 
Mbn sioni lolote kuhusu jkt au ndo wamefuta kweli hicho kigezo na kama kimefutwa je jw na wao pia hawatokitumia kwenye nafasi za ajira watakazo toa?🥴🥴*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom