Mnyunguli
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,772
- 4,458
Kaka hizi kazi zina wenyewe amin kwamba.Jau wewe🤣🤣🤣
Kaka hizi kazi zina wenyewe amin kwamba.Jau wewe🤣🤣🤣
Naelewa sana kakaa yalishanikuta mbona🤣Kaka hizi kazi zina wenyewe amin kwamba.
Kaka hizi kazi zina wenyewe amin kwamba.
Anachokwambia ndo ukweli mchungu kama huna connection omba sana Mungu bila connection kupata ni ngumu sana aminiAcha kukariri mkuu
Usiwavunje watu moyo acha waombe vijana.
Mkuu hata mimi nmeona hiyo kitu mfumo unawatema wengi kwa kete ua umri.Wamerundika vijana toka 2015 ... Huyu kijana leo hii lazima atakuwa na umri kati ya miaka 31 - 35.. afu wanatoa ajira wanasema mwisho mwenye umri wa miaka 30.. jamani inaumiza sanaa
Wewe unajua Mimi ni nani hapa na na nafanya kazi gani?Anachokwambia ndo ukweli mchungu kama huna connection omba sana Mungu bila connection kupata ni ngumu sana amini
Mbona madaktari wenye degree wanaomba? Polisi kuna vitengo sio ulinzi pekee.Yaani mtu ana degree ya engineering hafu anaomba kazi ya upolice kweli Africa tuna laana
Acheni kujitetea Kwa hoja za kulazimishia inshort you have failed and you are not professional personerMbona madaktari wenye degree wanaomba? Polisi kuna vitengo sio ulinzi pekee.
Labda wewe useme jeshi la nchi gani duniani halihitaji Engineers
Jeshi la nchi gani duniani halihitaji Engineers?Acheni kujitetea Kwa hoja za kulazimishia inshort you have failed and you are not professional personer
Naskia n kweliNgoja tuchangamkie ingawa Kuna mtu nilisikia anasema ni fake
Kuna mtu ambae kafanikiwa kutuma maombi maana naona mpaka saiv haifunguki🥴Naskia n kweli
Tatizo kigezo Cha elimu wengi kitatpga chenga maana wengi wamehtimu miaka ya nyuma wao wameweka awe amehtim 2018-2023
Unamaanisha nini?Mwenye 18 wazamani huwez mfananisha nawasaizi
Kuna mtu ambae kafanikiwa kutuma maombi maana naona mpaka saiv haifunguki🥴
Mimi nimefanikiwa mkuu, toka jana sema nilihangaika na website toka mchana mpaka jioni ndo nikafanikiwa, so inabidi ukomae nao mpaka ukubaliKuna mtu ambae kafanikiwa kutuma maombi maana naona mpaka saiv haifunguki