Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Naona kama ubaguz hv!yaan wale wa form four hawana elim?au hawa wanaenda kusoma uafsa?kwel nakubal ya wahenga"hatamu ikishikwa pund lazima/shartiaende"bas form4 iondolewe kwenye hat za ajira,maana that is unthinking ability.
haha..no wonder u r just a member mr. Steang, kuna ajira za form IV, form VI na graduates wa level tofauti jeshini...jus for your information!!! matangazo hayo kwa mwaka huu yalienda shuleni wakajaza formu huko huko shuleni...
Last edited by a moderator: