Tangazo kwa Wafanyabiashara na Wanafunzi

Dismass

Member
Mar 20, 2014
42
7
Habari za kazi watanzania wezangu!
Sisi ni Watanzania ambao tumesomea China na tunaishi China.Sasa hivi tunamiliki Trading Company (Traders Easy Way Company Ltd) ambayo ina supply Chinese products to third world countries worldwide kwa bei ya jumla.Tunafanya hasa electronic products ambazo ni accessories za simu na computer za aina zote, simu na computers pamoja na equipments.Ofisi yetu iko China, kwa TZ bado hatuja fungua ofisi ila tuna wawakilishi na sehemu maalum za kupokelea mizigo kutoka China.Kwa information zaidi kuhusu kampuni yetu tunaomba utembelee website yetu kwa kuclick hapaili uweze kujua business terms zetu, bidhaa tunazo supply na makadirio ya gharama zetu za usafirishaji wa bidhaa kutoka China mpaka TZ kwa meli na kwa ndege.

Tunajishirikisha hasa na wafanya biashara wadogo wadogo ambao ndiyo wanaanza biashara,lengo kubwa ni kuwezeshana kama watanzania in term of mutual benefits.Tuko tofauti na Trading company nyingine, kwasababu tunasupply kutokana na budget ya mteja na requreiments zake, pia tukomakini sana na swala la ubora kwahiyo tuna supply certified products ambazo zime pass quality test chini ya CE / FCC / CCC, haya ni mashirika ya ubora ya serikali ya China ambayo uthibitisha ubora wa products ambazo zinafanyiwa exportation kutoka China kwenda nchi nyingine. Pia products tunazo supply zote zina minimum guarantee ya mwaka mmoja na tunatoa after sales service kama mteja atahitaji usaidizi baada ya manunuzi na nk.

Tunajua usumbufu na kero za bandarini pamoja na customs, wateja wetu hawatakiwi kuwa na hofu juu ya hilo.Mambo ya bandarini na airport tunafanya sisi wenyewe, bidhaa zako zikifika unapigiwa simu na wawakilishi wetu na kwenda kupokea shipment zako.Na pia gharama za usafirishaji wa bidhaa zako unaweza kulipia huko huko TZ wakati wa kupokea bidhaa zako.

kwahiyo wale ambao wanahitaji bidhaa kutoka China kwa bei ya jumla tunaomba watucontact kupitia information ambazo zipo hapa chini.

Vilevile kwa watanzania ambao wanataka kuja China kujiendeleza kimasomo either kwa kujilipia au kwa scholarship tunasaidia bure kuwatafutia vyuo maana ata sisi tumesomea China na tunajua elimu yao ikoje na ni vyuo gani ni vizuri.Scholarship zipo hasa kwa Master's degree na PHD studies, kama utakuwa interested husisite kututafuta.Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi.

Contacts zetu
Email:info@traderseasyway.com
Skype ID: fhk221
WeChat ID: fhk221
Whatsupp: +86-159-96-48-13-55 (TEW)
Fax: +86-25-68-65-05-69
Tel: +86-25-84-57-34-52
Mob: +86-159-964-813-55
Website: Traders Easy Way-We Supply According to your Budget - Featured Electronics

Namba za wawakilishi wetu wa TZ zipo kwenye website yetu.Unaweza kuwaconatct wao pia au ukawasiliana na sisi moja kwa moja kupitia namba za simu, email au whatsupp for your convenience. Tunapatikana 24 hours a day.
 
website imepata matatizo ya DNS, tatizo linafanyiwa kazi! itarudi hewani soon! Kama utakwa na inquiries zozote! naomba uwasiliane na sisi kwa kupitia email au whatsupp! Asante
 
Back
Top Bottom