Tangazo kwa wadau wa drafti

fantastic philip

Senior Member
Oct 17, 2015
194
681
TANGAZO KWA WADAU NA WAPENZI WA MCHEZO WA DRAFTI

Kuanzia kesho tarehe 30 mpaka tarehe 31 ya mwezi huu tunatarajia kushuhudia pambano litakalowahusisha mabingwa 16 wa mchezo wa drafi, pambano hili litafanyika katika ukumbi wa java kitunda kuanzia majira ya saa 8 mchana mpaka saa tano usiku.

ZAWADI,

Mshindi wa kwanza shiringi laki mbili (200000)

Mshindi wa pili shiringi laki moja 100000

Mshindi wa tatu shiringi elfu hamsini (50000)

Washiriki wetu wa pambano hilo ni hawa wafuatao

1 NDULI,
2 RONALDO
3 HEMEDI GAIDI
4 OMARY KIWEMBE
5 ISSA MAMBA
6 YASINI EAGLE
7 FUNDI SAIYA
8 SAIDI KINYEMI
9 MASTER MJAPE
10 MZEE NGAPU
11 DOGO SISCO
12 DOGO JANJA
13 DOGO SHUKURU
14 DOGO ATHUMANI
15 DOGO ALLY
16 DOGO HAMISI

Mzamini, DANY DENYO

Mratibu, MANGWELELE

Washiriki wote wataghalamikiwa nauli na chakula kutoka kwa mzamini wetu aliyeandaa pambano

Pichani ni moja ya mapambano yaliyowai kufanyika katika moja ya vijiwe vya drafti.

ASANTENI SANA.
 
Atakae shinda uje utuambie

Michuano yetu ya mchezo wa drafti inaendelea huko kitunda katika ukumbi wa JAVA mshindi wa kwanza kujinyakulia shiringi laki mbili na wa pili laki moja,

Mpaka muda huu waliotinga NUSU FAINALI ni

DOGO SISCO

DODO YASINI

DOGO ATHUMANI

Mechi ambayo bado haijaisha ni NDURI vs USTADH KIWEMBE Mpaka sasa wameshacheza michezo 14 hakuna aliyeona lango la mwenzie mechi bado inaendelea. ASANTENI SANA.
 
duh wako vizr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom