Tanga: Watu 8 Wafariki Kutokana na Mafuriko ya Mvua za El Nino

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,784
Chukueni tahadhari mpaka Sasa Arusha watu 12,Tanga Watu 8 na Mikoa mingine nayo inaendelea kuripoti maafa.

==========

Watu wanane wamefariki dunia mkoani Tanga kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha kwa wiki mbili mfululizo katika maeneo mbalimbali.

Kamanda wa Polisi mkoani humo, Almachius Mchunguzi ametoa taarifa hiyo leo Jumanne Novemba 28, 2023 wakati akizungumza na vyombo vya habari.

"Pamoja na miundombinu kuharibika zikiwamo barabara na madaraja lakini mvua hiyo ya wiki mbili ilisababisha vifo vya wakazi nane wa maeneo tofauti mkoani Tanga," amesema Mchunguzi.

Amewataja waliofariki ni Fabius Masalu (23), mkazi wa Kijiji cha Ngomeni Wilayani Muheza ambaye alisombwa na mafuriko wakati akivuka mto akitokea shambani na Aboubakar Said (7) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Maweni Kichangani jijini Tanga.

Wengine ni Nganahe Masai (8) wa Kijiji cha Gombero Wilaya ya Handeni, Simon Arod (3) wa Wilaya ya Kilindi, Mhina Gabriel (45) wa Kijiji cha Mianga Songa wilayani Muheza na Mbwana Makame (48) wa Kijiji cha Kicheba Wilaya ya Handeni.

Kamanda Mchunguzi amesema wengine wawili majina yao bado hayajapatikana.

Chanzo: Mwananchi
 
Kenya

View: https://www.instagram.com/p/C0OVT_dsY9-/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
View: https://www.instagram.com/reel/C0Yl6T9KSpw/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Kuna watu walisema wana hamu ya kuona elnino inafananaje? Sasa habari mbaya ni kwamba hiki kinachoshuhudiwa ni utangulizi tu.
 
Chukueni tahadhari mpaka Sasa Arusha watu 12,Tanga Watu 8 na Mikoa mingine nayo inaendelea kuripoti maafa.

==========

Watu wanane wamefariki dunia mkoani Tanga kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha kwa wiki mbili mfululizo katika maeneo mbalimbali.

Kamanda wa Polisi mkoani humo, Almachius Mchunguzi ametoa taarifa hiyo leo Jumanne Novemba 28, 2023 wakati akizungumza na vyombo vya habari.

"Pamoja na miundombinu kuharibika zikiwamo barabara na madaraja lakini mvua hiyo ya wiki mbili ilisababisha vifo vya wakazi nane wa maeneo tofauti mkoani Tanga," amesema Mchunguzi.

Amewataja waliofariki ni Fabius Masalu (23), mkazi wa Kijiji cha Ngomeni Wilayani Muheza ambaye alisombwa na mafuriko wakati akivuka mto akitokea shambani na Aboubakar Said (7) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Maweni Kichangani jijini Tanga.

Wengine ni Nganahe Masai (8) wa Kijiji cha Gombero Wilaya ya Handeni, Simon Arod (3) wa Wilaya ya Kilindi, Mhina Gabriel (45) wa Kijiji cha Mianga Songa wilayani Muheza na Mbwana Makame (48) wa Kijiji cha Kicheba Wilaya ya Handeni.

Kamanda Mchunguzi amesema wengine wawili majina yao bado hayajapatikana.

Chanzo: Mwananchi

View: https://www.instagram.com/reel/C0Y43eHL93w/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
View: https://www.instagram.com/p/C0ZGddZsXll/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1731657664982024283?t=RM-jUpP9OYC5MsPZG-k0_g&s=19
 
Back
Top Bottom