Tanga mpooooo?

I see, vizuri sana wapo wapi hawa ndugu zangu Sharif na Fatma? , nilisoma nao pale Boma Primary School.

Mkuu Sharifu alioga kisha akanya Ruvu kwahiyo hawezi kwenda popote yupo tu Korogwe, Malau pia amerudi baada ya kuhangaika sana kimaisha na mimi nilikuwa huko 2006 lakini nimerudi town napigana kimaisha si unajua tena!
 
Hahaha du mzee umenichekesha, manake na mimi nilioga ila sikunya.inshallah nina safari ya Arusha nitapita Korogwe kama kwa two days nitafute washikaji zangu wote bwana, nimekumbuka mbali sana!
 
Mohamed please do me a little favour, siku moja pita hapo Chumbageni kuna msichana mmoja anaitwa Rehema (ana sura ya mviringo halafu mpana kwenda chini). Ask her in a candid way, why she doesn't want to come back to Dar. Alikwenda home kwao kwa ajili ya Mwaka Mpya, lakini zimepita zaidi ya wiki tatu sasa. It's getting crazy with just only a week left before I leave, please.

Pole sana mkuu najua unamiss maji ya kuoga yaliyotiwa hiliki na karafuu hasahasa kisosi cha chai lol. Usijali nipm namba yake au nitamuuliza Saida Gadafi atakuwa anamjua maana yeye ni mwenyeji na somo mzuri wa wanawake na anawajua wote waliokulia chumbageni labda awe alikulia kirare ndio hatamjua
 
Hahaha du mzee umenichekesha, manake na mimi nilioga ila sikunya.inshallah nina safari ya Arusha nitapita Korogwe kama kwa two days nitafute washikaji zangu wote bwana, nimekumbuka mbali sana!

Nimekukumbusha enzi za BS na nyota nyekundu wakati huo brother wangu. Said Nyanyu! Tena nadhani nishuke segera nikalale Korogwe kesho asubuhi niende Tanga. Ukionana na Sharif mwambie ndugu yako Mohammed au a.k.a Shossi mzungu nipo nae kwenye jamvi!
 
Kabisa mkuu BS ndio ilikuwa mwisho wa mambo!Maisha bwana!
 
Kabisa mkuu BS ndio ilikuwa mwisho wa mambo!Maisha bwana!

Sasa hivi mji umekuwa na starehe zimekuwa nyingi kuna club mpya ya mhe Ngonyani a.k.a Prof Mjimarefu inaitwa Mamba club. Tofauti ya sasa na zamani ule ugonjwa ulikuwa hakuna kaka ila sasa hivi ni nouma. Karibu sana nyumbani si unajua nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani?
 
Mgosi acha mambo yako wewe nenda kaandae mazingira ya ndoa tu, nisalimie Ally pamba barabara ya nane Dogo mmoja ana duka la nguo za kijanja sana. Homeboy.
 
Kaka mbona unaharaka, kama kweli wapajua Tanga basi inshalah kila kitu chapatikana ati wewe ukifika nenda sehemu inaitwa nyinda maeneo ya chuda au Co fee bar ulizia Real Madrid, Chelsea, Man u au Arsenal haja yako yote itakuwa imekamilika. Ukipata huduma hapo unaenda zako Tanga beach resort kuosha nyota.

Shemu aisee wewe ni kiboko... madrid wapo katikati ya barabara ya 3 na ya 4, kuna mgahawa unaitwa Tawakal jioni jioni utawakuta pale, wameshine na kung'aaa......!!! nyinda ndo sehemu ya kubwaksi then maeneo ya La vida roca afu unamalizia Club La casa Chika!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom