Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

Eng. Nsiande naona wewe ni miongoni mwa engineers ambao either mnadanganyika kirahisi au ni white colar engineers ambao mnasubiri taarifa tu from your technicians. Ninayo taarifa ya ubungo gas plant, plant haipo kwenye maintenance now, plant ile haiwezi kuwa under maintenance yote. Ni one or two engines at a time with total capacity 16 MW. Pale kuna 12 engines, the same to Tegeta ni 45 MW na kuna 5 engines zinatembea. Fanya utafiti mdogo kama upo hapo makao makuu chungulia tu dirishani utaona namba of engines zinatembea hapo Ubungo gas plant.

Allow me to laugh..those 12 engines ...generate only 11 each, 3engines are out..Mhandisi Nsiande
 
The reason behind this is: though installed capacity is more than demand, but current generation is below capacity, shedding of 40mw from the grid is from gas fired plants which are 3, songas ( its currently generating below 180mw ) tegeta the 45 is switched off, ubungo gas 100MW this is on major overhaul
That is the technical explanation...eng Nsiande

I looks you have inside info....if not one of them. But it doesn't add water. Why Ubungo turbins are always on major overhaul?? Is someone trying to justify the Downs story..........???
 
If u privatize transmission lines you are limiting ur own country..the stuff to be privatised are generation ( which is already ) and distribution, transmission lines are in kiswahili 'njia kuu za usafirishaji umeme' hakuna nchi iliyoprivatise transmission lines...maybe part but its govt property due to the heavy investment in building them and hujuma tht may happen to it should a private entity so wishes, biashara ya umeme si sawa na kukusanya kodi ama vitu vingine, kuna shortfalls ndio and challenges but shouldn't be won by diverstiture(sp) the quick soln maybe to advertise all jobs and invite everyone to apply and fire the current staff..it might please some people who don't know much..

To fire the current staff wont help anyone...... The all Tanesco system Stinks...... Still am not sure about privatising the power Generation because this if well handled (Tanesco should manage it with all these vyanzo vya umeme (and our hard earned cash)... Taxes).

Okay then lets give distribution to other people because it seems the company is so big and the job too heavt that Tanesco can not handle it.
 
Mgawo mpya wa umeme ni mkakati maalum uliopangwa wa kununua Dowans. Makali ya mgao yatakapokuwa juu ndipo itakuja hoja kuwa serikali imekubaliana na Dowans nje ya mahakama badala ya kuilipa fine then serikali itainunua for 185bl +.
Why:
Mahitaji ya umeme kwenye grid ya taifa ambayo ndio itaathirika na mgao huu ni kati ya 500MW mpaka 720MW peak hour. Tanesco imetangaza mgao wa 6 to 12 hours. Upungufu wa umeme ni 40MW kama walivyotangaza, hivyo bado tuna uwezo wa kuzalisha mpaka 680 MW. On average grid itakosa umeme for 9 hours, so why 40MW which is only 6% of grid demand isababishe mgao for 9 hours. 40MW ni umeme unaotosha mahitaji ya eneo la ubungo mpaka Kimara tuu.
Tafakari!!!

Chidide:

Umeweka uzalishaji ni 500MW - 720MW. Hivyo nilitegemea ufanye calculation ya worst case scenario kwa kutumia minimum ambayo ni 500MW. 500MW ukitoa 40MW utapata 460MW. Je 460MW haiwezi kusababisha mgao?
 
It is the time now for Tanzania to explore other sources of energy. Geothermal energy could be the best option to embark. We have at least two or three potential sites for Geothermal Energy sources
In the Rungwe volcanic field in the Mbeya region in the south-west of Tanzania,
In northern Tanzania at the southern end of the eastern branch of the East African Rift system (Gregory Rift), and
In eastern Tanzania in the Rufiji Basin in the Proterozoic mobile belt around the Tanzanian Craton. On the Archean Craton itself only a few hot springs can be found.
Estimates suppose that these Geothermal potential could generate as high as 140 to 380 MW.
 
It is the time now for Tanzania to explore other sources of energy
The problem is not that we dont have enough sources of energy..... the problem is the company and people in big positions they are imbeciles, who dont know how to utilise anything
 
Hivi tutakuwa na style hii ya maisha hadi lini? Tatizo nini hadi sasa ni zaidi ya miaka mitano bado tu hatuna suluhisho la kudumu la umeme? Mara kadhaa tunapata taarifa za ufujaji mkubwa wa mabilioni ya fedha za kodi ya watanzania kupitia ufisadi unaofanywa na haohao wenye kupanga na kuweza kumaliza tatizo hili la umeme na mengine mengi. Hivi huu mgao wao unawathiri kiasi gani?? Na kama hawathiriki tunasubiri nini kuwaambia wameshindwa kazi tuliyo wapa/waliyojinyakulia?

Nadhani tufike mahali tuwaambie sasa basi hiki/hivi ndiyo tunataka katika nchi hii. Na hapo isiwe katika hisia za kisiasa bali ukweli wa matatizo tunayo yapata sis watanzania tulio wengi.

Nahitaji watu waseme katika hili
 
Chidide:

Umeweka uzalishaji ni 500MW - 720MW. Hivyo nilitegemea ufanye calculation ya worst case scenario kwa kutumia minimum ambayo ni 500MW. 500MW ukitoa 40MW utapata 460MW. Je 460MW haiwezi kusababisha mgao?

No sijasema uzalishaji, nimesema mahitaji (demand) which means kama kuna wakati demand inakuwa 720MW then that's what generation capacity is otherwise grid ita trip. Insatlled capacity Tanzania ni about 900 MW but for the time being we can generate up to 720 MW. So kama Tanesco wamesema tunakosa 40 MW then that means still we can generate up to 680 MW. Na kwa Tanzania peak hour ni from saa kumi na mbili jioni mpaka saa 3 usiku (720MW), most of the time demand ni kama 640 MW. So ningetegemea mgao ungekuwa kwa muda wa peak hour tuu na kwa kufanya power shedding ndogo tuu kama kuondoa load kwa zamu may be sehemu fulani ingekosa umeme for 3 hours in a week, na sio nchi nzima for up to 12 hours!!!!
 
Yaani hii ishu ya UMEME imewashinda kabisa hawa TANESCO na CCM yao,jamani kama mmeshindwa kwa sababu ya UZEMBE na UFISADI wenu,si muachie watu wengine wafanye hio kazi,inakuaje mnang'ang'ania kuongoza wakati hamuwezi??????,Hakika mnakera kwelikweli,sasa mwezi mzima bila umeme hii nchi itakuaje????:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
Nimeanza ku doubt uwezo wa kufikilia wa viongozi wetu.... Mwanzo nilidhani kuwa wanafanya haya madudu sababu ya kulinda ufisadi wao, na kutaka kutajirika kwa haraka..... Sasa naona hata uwezo wao wa fikra matatizo...

Hawana sifa yoyote ya kuwa viongozi, vinginevyo kusingekuwa na madudu mengi kiasi hiki.

Hayo mkuu ni ya baadae sana kama serikali yetu inajali wazalendo. Kwanza sasa hivi Tanesco wanang'ang'ana na vyanzo vile vile vya umeme wanashindwa kufocus sehemu zengine kutatua tatizo la umeme.

Mimi niletegemea mawili kwanza Rais angeitisha mkutano na waziri na tanesco ili kuweza kulipatia ufumbuzi wa tatizo...haijatokea sijui mkuu yuko huko majuu

Pili kama kweli hili ni bunge letu basi lingngemwita Ngeleja ili awaeleshe watafanya nini kulifumbua hili tatizo.

Ni mara ya pili inatokea mara baada ya uchaguzi unatokea matatizo ya umeme lakini si Mkuu wala waziri wame take responsibilty....hapa majuzi nasikia huko Scotland baada ya kunyesha barafu waziri wa uchukuzi alijiuzulu kwa sababu ya walichokiita uzembe.....sasa hii nchi tunwabeba wazembe mpaka lini?
 
IS there any advantage ya kuwa na wazalisha umeme wengi? It should be an advantage but kwa Tanzania seem like electricity projects are unamanagable. Thing are going from bad to worse.

Am I right to say now things are much worse than when everything wa under TANESCO ?
 
Mgawo mpya wa umeme ni mkakati maalum uliopangwa wa kununua Dowans. Makali ya mgao yatakapokuwa juu ndipo itakuja hoja kuwa serikali imekubaliana na Dowans nje ya mahakama badala ya kuilipa fine then serikali itainunua for 185bl +.
Why:
Mahitaji ya umeme kwenye grid ya taifa ambayo ndio itaathirika na mgao huu ni kati ya 500MW mpaka 720MW peak hour. Tanesco imetangaza mgao wa 6 to 12 hours. Upungufu wa umeme ni 40MW kama walivyotangaza, hivyo bado tuna uwezo wa kuzalisha mpaka 680 MW. On average grid itakosa umeme for 9 hours, so why 40MW which is only 6% of grid demand isababishe mgao for 9 hours. 40MW ni umeme unaotosha mahitaji ya eneo la ubungo mpaka Kimara tuu.
Tafakari!!!
wameshajua cc wadanganyika ni majuha wanafanya wanavyotaka tumekaa kimya,tuaonzishe maandamano namigomo nchi nzima hasa yakupinga ongezeko la bei yaumeme hapo ndio tuanzie,nakwambia watanyooka hawa wasanii wanaotuongoza,tofaut nahapo tukubal kuburuzwa mpk tunaingiakaburini.
 
I looks you have inside info....if not one of them. But it doesn't add water. Why Ubungo turbins are always on major overhaul?? Is someone trying to justify the Downs story..........???
No those r scheduled maintanance
 
Mgawo mpya wa umeme ni mkakati maalum uliopangwa wa kununua Dowans. Makali ya mgao yatakapokuwa juu ndipo itakuja hoja kuwa serikali imekubaliana na Dowans nje ya mahakama badala ya kuilipa fine then serikali itainunua for 185bl +.
Why:
Mahitaji ya umeme kwenye grid ya taifa ambayo ndio itaathirika na mgao huu ni kati ya 500MW mpaka 720MW peak hour. Tanesco imetangaza mgao wa 6 to 12 hours. Upungufu wa umeme ni 40MW kama walivyotangaza, hivyo bado tuna uwezo wa kuzalisha mpaka 680 MW. On average grid itakosa umeme for 9 hours, so why 40MW which is only 6% of grid demand isababishe mgao for 9 hours. 40MW ni umeme unaotosha mahitaji ya eneo la ubungo mpaka Kimara tuu.
Tafakari!!!

Mkuu hapa Tanzania ni miongoni mwa sehemu chache duniani ambapo unaweza kutoa sababu yoyote na jamii ikaipokea. Kwa ujumla hiyo sababu ya 40MW kusababisha mgao wa 12hrs tena kwa nchi zima ni ya kijinga kabisa!.

Na hii ndiyo unifanya nijiuleze kama hawa watu wana akili nzuri au sisi wananchi ndiyo hatuna akili nzuri! Kwanini wanaficha ukweli, ukiona hivyo ujue ni aidha kuna uzembe wa watu fulani au ni hujuma kwa nchi!

Tusikubaliane na sababu za kijinga eti maintenance, wanatakiwa wajue jinsi ya kupanga ratiba za maintenance!

Utawala utakaoweza kutatua tatizo la umeme hapa Tz tutaukumbuka kwa muda mrefu.

Kwa sasa kuna mahojiano TBC kuhusu mgao wa umeme na kupanda kwa gharama za umeme. walioko studio ni Mkurugenzi wa Ewura, Masebu na Mkurugenzi wa Tanesco. fuatilia kipindi hiki!!!
 
MD wa tanesco alipoulizwa kuwa wanamlipa hizo Bil 185 dowans, nani mmiliki wa Dowans?, amejikanyanyaga kuwa bado ni siri kwa sasa mpaka hapo hukumu ya kesi hiyo itakaposajiliwa mahakama kuu ya tz...it is a shame.
 
Back
Top Bottom