TANESCO wanakata umeme kila siku Masaki kuanzia saa 12 jioni

kishegheni

Member
Mar 6, 2012
21
85
Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao.

Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku, jamani tuoneeni huruma huruma na sisi tuna haki huruma

#TANESCO mlaaniwe
 
Bora na nyie yamewafika, nilidhani hili linatuhusu sisi third world country pekee.

Kumbe ule usemi wa binadamu wote ni sawa kuna baadhi ya sekunde huwa ni kweli.
 
Masaki mnapiga kelele? Huku Kitunda tusemeje? Ama ndio tupite mtaa kwa mtaa na fuso tukilia umeme umekatwa?
 
Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku, jamani tuoneeni huruma huruma na sisi tuna haki huruma #TANESCO mlaaniwe
Unajua kuna Masaki 3 km sio 2 kwa hio wewe unaizungumzia Masaki ipi?
 
Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku, jamani tuoneeni huruma huruma na sisi tuna haki huruma #TANESCO mlaaniwe
Hii nchi kuna genge kubwa la wezi wanaotuhujumu, muda huu niko Morogoro nako sehemu nyingi hazina umeme
 
Ni hasara kwa wafanyabiashara wanaotegemea umeme
Muulize Masaki ipi maana kuna Masaki ushuani alafu kuna Masaki Uswahilini kule shamba ukishapita Pugu, alafu kuna nyingine ipo njia hii km unaelekea Kisarawe km sijakosea zote hizo ni Masaki Sasa yeye anazungumzia Masaki ipi?
 
Tunaamini kila nyumba Masaki ina standby generator na kwamba hizi kero za umeme hazina athari kwenu.

Do you really belong there?
 
Wacha wakate tu mkuu, Hiyo share yenu iletwe dongobesh kwa kina gekul au kazuramimba kwa waha .
Huko Hata Kama hakuna umeme hakuna vibaka mitaani na barabara ni shwarii halafu kila nyumba Ina jenereta
 
Back
Top Bottom