TANESCO wanaboa ile mbaya

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Ndugu zangu wanajf, poleni sana kwa msiba wa mwanajf mwenzetu na mbunge Regia Mtema (RIP).
Pamoja na majonzi tuliyonayo, napenda niwasilishe sikitiko langu juu ya huduma za Tanesco. Tuliambiwa mgao umekwisha, lakini kila siku umeme unakatwa saa mbili usiku au siku nzima. Najiuliza mabwawa hayajajaa? Hivi kwanini hili shirika lisifutwe tu ili tuanzishe mamlaka itakayosimamia utoaji wa umeme kupitia mashirika binafsi? Kwangu mimi Tanesco ni moja ya vyanzo vikuu vya umaskini wa Tanzania.
 
Hiki kilio kimesha zoeleka mkuu hakuna namna maana wahusika wako likizo
 
Ndugu zangu wanajf, poleni sana kwa msiba wa mwanajf mwenzetu na mbunge Regia Mtema (RIP).
Pamoja na majonzi tuliyonayo, napenda niwasilishe sikitiko langu juu ya huduma za Tanesco. Tuliambiwa mgao umekwisha, lakini kila siku umeme unakatwa saa mbili usiku au siku nzima. Najiuliza mabwawa hayajajaa? Hivi kwanini hili shirika lisifutwe tu ili tuanzishe mamlaka itakayosimamia utoaji wa umeme kupitia mashirika binafsi? Kwangu mimi Tanesco ni moja ya vyanzo vikuu vya umaskini wa Tanzania.

Mkuu hakika umenena :A S thumbs_up: Tanesco ni moja ya chanzo kikubwa cha umaskini wa Bongo.
 
Back
Top Bottom