TANESCO wakubali kubomoa jengo lao, waahidi upatikanaji wa umeme wakati wa kutekeleza agizo hilo

Gwajima ajiandae kubomoa mwenyewe na watu wote waliopo usawa wa mita 90 kilio hicho soon tunazika watanzania wengine kwa presha
 
Jengo linabomolewa la mbele tu la nyuma linabaki na patapendeza worry out.
Unalijua vizuri hilo jengo? Huwezi libomoa nusu hata siku moja kwanza hapo hakuna tofari hata moja ni zimesukwa nondo na zege kali mwanzo mwisho ukitingisha upande mmoja umesha weaken na upande mwingine
 
Linabomolewa jengo lenye thamani ya zaidi ya Bilioni 20 alafu tunajisifu eti tunabana matumizi! Kwa nini busara ya ku- diverge hill eneo lisiozidi hata KM kwa kutanua upande was PILI hata kwa kulipa fidia isiyozidi hata bilioni tano
Jumlisha na pesa ya kubomolea hapo, alafu hilo jengo kwa sasa thamani yake ni zaidi ya bilioni 20
 
Makao makuu ya Tanesco yanafanya nini Dar wakati umeme unazalishwa Mtera? Kwanini yasiwe Dodoma au Mtera kwenyewe?
 
Kwahiyo waliache liwepo tukose flyover km wataalam wamesema no alternative?

Wewe kakundu haufikiri sawa sawa. Hii flyover kwani iliplaniwa kujengwa awamu ya tano? Hao wataalam hawakuwepo enzi za JK? Mbona JK alizuia lisivunjwe...
Tatizo lako kubwa ni exposure...hujatembea ukaona flyovers zimejengwa kukwepa nyumba na kila kitu kikawa sawa. Acha ushabiki wakijinga
 
..flyover inaweza kuzunguka jengo...si lazima ipite lilipo jengo...hao ma engineer wasiojua hili watakuwa ma feki...kama walivyo washauri wa rais wanaomdanganya kila kukicha....

Kwahiyo unashauri flyover isijengwe? Kwa sababu maengineer wa mradi ndio wakiomuomba nafasi hiyo baada ya kukosa alternative ikigundulika kungekuwa na alternative watalaumiwa wataalam sio rais.
 
lipeni kodi tena na michango ili PPFCCM wajenge jengo lingine..
na marahii tutawajengea hilo jengo CHATO tukimaliza ujenzi wa kale kahosipito ka rufaa
 
Kwanini wasijenge jingine afu ndio wavunje hilo
Japo si sawa kuvunja jengo kama hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom