TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

Kwani hamjui tanesco ni mkono wa ccm.wamefanya kusudi.kuwanyima watu wa mikoa yenye majiji wasiangalie hilo konga mano.ila wamechemsha,,,wanaumeeeeee wanswakeeeer,vcm kwisha,kwisha ksbisaaaaa.....
 
Wakuu,baada ya CHADEMA kutangaza kufanya mkutano wa kihistoria jijini Mwanza leo tarehe 22/07/2015 saa 8 mchana.TANESCO wamekata umeme kanda ya ziwa tangu asubuhi mpaka sasa hivi.Je,hiyo ndiyo dawa ya CCM kuua upinzani kanda ya ziwa?

Wamesahau kama wanaishi kwa kuuza unit za umeme walioukata!
 
TV zoteziko hewani nyie vipi acheni kupotosha sasa ni saa 9 Alasiri na Tv zote Star Tv na ITV kuna Filamu! Tupeni story nyingine!
 
Narudia tena uongo ni dhambi, Tv zote sasa hivi ziko hewani na matangazo ya vituo yanaendelea kama kawaida! ITV na Star Tv Sasa hivi kuna FILAMU!!!
 
Wapuuzi hao wanatumika.Kwasasa ni ngumu mno kuzuia wimbi la mabadiliko lililopo.Naichukia sana ccm.

Usitukane bure jitahidi kutumia akili yako vizuri Star Tv na Itv kwa sasa ziko hewani hakuna cha mkutano wa CDM MWanza wala nini kuna Filamu tu ndo zinapeta hewani! muulizeni Makene kulikoni?
 
Hivi huko TANESCO hatuna makamanda ....... hii ni dakika ya kusimama na wazalendo popote ulipo ...huu ndio uzalendo kwa taifa letu pendwa ......
 
Narudia tena uongo ni dhambi, Tv zote sasa hivi ziko hewani na matangazo ya vituo yanaendelea kama kawaida! ITV na Star Tv Sasa hivi kuna FILAMU!!!

sasa mkuu kwani yeye amesema kuwa tv haziko hewani?!!! anacholalamikia ni kuwa uko alipo hakuna umeme. Sasa wewe unakurupuka na habari za kuwa tv zote zipo hewani!!!
 
CHADEMA imeshapita majaribu mengi, kwa hili ni sawa na kuzuia train lisipite kwenye njia yake kwa kukinga ubao.

Kwa sasa hakuna tena jaribu linaloweza kuizuia CHADEMA kukabidhiwa dola!! cha msingi ni wananchi tujipange na kuwa tayari kwa mabadiliko.

Mabadiliko 2015 hayazuiliki.
 
Jenereta pia zimechukuliwa na CCM?

Hawa inaelekea hawajalipia airtime maana matangazo ya Tv huwa hayakatwi masaa 24 hata kama umeme haupo! tv zote sasa hivi hazina live coverage ya CDM kuna Filamu ndo zinaonyeshwa!sasa ni saa 9 walituambia kuanzia saa8 watakua hewani na sasa hawaonekani labda tusubiri watakuja saa 12!!
 
wakuu,baada ya chadema kutangaza kufanya mkutano wa kihistoria jijini mwanza leo tarehe 22/07/2015 saa 8 mchana.tanesco wamekata umeme kanda ya ziwa tangu asubuhi mpaka sasa hivi.je,hiyo ndiyo dawa ya ccm kuua upinzani kanda ya ziwa?

nipo kigamboni dar es salaam nako wamekata
 
Nenda katoe taarifa customer care Kituo cha karibu, halafu Kwani hayo matangazo ya Live hao Star Tv na Itv hapo ground wanategemea umeme wa Tanesco tu? si wana standby Generator? Tutaona huku kwa niaba yenu kama kuna marekebisho ya Njia kuu za umeme waache kisa CDM inafanya mikutano acheni hizo!
hayo matengenezo ya njia kuu yanafanyika pale tu CHADEMA wakiwa na mikutano! CCM wala hakuna matengenezo acheni hizo!
 
Na huku Pwani hakuna umeme nako pia kuna mkutano wa Chadema? acheni kuweweseka nyie misukule ya Mtei.

Hahahaha,

Halafu Jamaa anaandika eti Mkutano wa Kihistoria.
Hivi mkutano wa Kihistora bila kuwa na jina la Raisi mgombea si uhuni tu huu?

Hapo kuna hali ya kutaka tu kufunika mapengo aliyoacha magufuli.

UKAWA siku zinaenda wao wanvutana,wenzao CCM wanaendelea yao,wao hadi waje wamtangaze Raisi wa UKAWA na hadi aje aondoe mipasuko sio leo na Kampeni mwezi ujao zinaanza,hapo sasa.

UKAWA aisee,wamewahadaa wanachama wao na zogo jiiingi kwamba wapo wamoja,leo hii kila mmoja akihojiwa na chombo cha habari anapingana na maneno ya mwenzie.
Madaraka matam kila mtu anataka pesa za ruzuku,mnafikiria kuungana mchezo

Nchi hii haina upinzani wa kweli,ila kuna makundi tu ya vyama yanataka kupotezea vijana muda wao,waache kujituma wasubirie nchi ya kusadikika
 
Back
Top Bottom