Shukrani kwa Tanesco kwa kujitahidi kujibu kero za Wananchi humu Jukwaani.

Niliwahi kuzungumzia Sakata la Tanesco Kutwaa eneo la Wakazi wa Msalato Dodoma kwa ajili ya Kujenga Sub-station bila Kuwalipa fidia(post #8,014). Mrejesho mlileta pia.

Baada ya pale kulikuwa na Mawasiliano ya Karibu na Meneja wa Mkoa wa Dodoma japo hakutoa ushirikiano unaotakiwa hadi pale wakazi wale walipoandika Barua kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na kubainisha changamoto yao.

Tarehe 11 Agosti 2020 TANESCO iliwaandikia wakazi wale Barua (SMR/MEnv/SURVEY/21). Barua hii inadhibitisha kuwa TANESCO imehakiki eneo husika na ina andaa malipo. Mwaka 2021 wakazi wale wameenda kwa Meneja Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya Kuulizia malipo yao. Majibu aliyotoa ni kuwa TANESCO haina FUNGU LA KULIPA.

Sasa naomba kujua,

1. Ni lini TANESCO itawalipa wakazi hawa?

2. Kama TANESCO ilitwaa eneo hili tangu 2018 na kuzuia shughuli zote za kiuchumi hadi leo kwa nini wasirejeshe Eneo kwa Wananchi waliokuwa wanamiliki kwa sababu Meneja amekiri wazi kuwa HAWANA FEDHA ZA KULIPA?

3. Je TANESCO itawalipa Wananchi hawa malipo gani ya ziada ili kufidia muda huo wote ambao wamezuiwa kufanya Shughuli za kiuchumi katika Maeneo yao?

Ahsante.
 
Hili ni swala la mdai hatuwezi kukujibu hapa bila kutafuta undani wake tafadhali onyesha namba ya simu tufatilie na kukupa mrejesho
 
Shukrani kwa Tanesco kwa kujitahidi kujibu kero za Wananchi humu Jukwaani.

Niliwahi kuzungumzia Sakata la Tanesco Kutwaa eneo la Wakazi wa Msalato Dodoma kwa ajili ya Kujenga Sub-station bila Kuwalipa fidia(post #8,014). Mrejesho mlileta pia.

Baada ya pale kulikuwa na Mawasiliano ya Karibu na Meneja wa Mkoa wa Dodoma japo hakutoa ushirikiano unaotakiwa hadi pale wakazi wale walipoandika Barua kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na kubainisha changamoto yao.

Tarehe 11 Agosti 2020 TANESCO iliwaandikia wakazi wale Barua (SMR/MEnv/SURVEY/21). Barua hii inadhibitisha kuwa TANESCO imehakiki eneo husika na ina andaa malipo. Mwaka 2021 wakazi wale wameenda kwa Meneja Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya Kuulizia malipo yao. Majibu aliyotoa ni kuwa TANESCO haina FUNGU LA KULIPA.

Sasa naomba kujua,

1. Ni lini TANESCO itawalipa wakazi hawa?

2. Kama TANESCO ilitwaa eneo hili tangu 2018 na kuzuia shughuli zote za kiuchumi hadi leo kwa nini wasirejeshe Eneo kwa Wananchi waliokuwa wanamiliki kwa sababu Meneja amekiri wazi kuwa HAWANA FEDHA ZA KULIPA?

3. Je TANESCO itawalipa Wananchi hawa malipo gani ya ziada ili kufidia muda huo wote ambao wamezuiwa kufanya Shughuli za kiuchumi katika Maeneo yao?

Ahsante.
Tunaomba namba yako ya simu kwa taarifa za awali inanyesha hawakufika kwa manager wa Mkoa
 
Tanesco makao makuu imulikeni Tanesco Kibaha ( Mkoa wa Pwani) kumejaa rushwa ambayo inaikosesha serikali mapato kwa kuchelewesha kwa makusdi kuwafanyia wateja survey. Muulizeni meneja ni wateja wa ngapi wameunganishiwa umeme kwenye mradi uliokamilika wa nguzo za zege? Na ni kwa nini wateja wengi waliomba kuunganishiwa umeme hawajapatiwa huduma hiyo, isipokuwa wale wachache waliokubali kutoa rushwa ya shilingi laki moja mpaka laki mbili na nusu.
Mradi uko kata ya viziwa ziwa unaanzia palijengwa chuo cha Siasa kuelekea eneo linalojulikana kama Shana Town.
Kuna Mzee mmoja, mtu wa makamo kidogo, nadhani anakaribia kustaafu pale nje mapokezi kwenye mabenchi ana majibu ya hovyo, very irritable, kama sio mvumilivu unaweza muanzishia ugomvi pale, mwambieni ajirekebishe.
 
Tumepokea mkuu
 
Ni kero endelevu wanayokutqna nayo wakazi wa PUGU kila siku inapoanza umeme unakatika

Kero hii ina kwamisha shughuli za uchumi za wananchi za kila siku. Tanesco please ondoeni kero hii
 
Tanesco Segerea mwisho hapa frame mpya tumechoka hii kero ya kukosa umeme wiki ya pili Sasa. Kila tukifatilia mnasema shida ipo kwenye transfoma, mafundi wenu wakija wanaunganisha umeme unawaka kwa masaa kadhaa unakatika tena. Kama shida inajulikana kwanini msitengeneze kwa uhakika? haiwezekani tatizo linakaa wiki 2 bila kutatuliwa wakati hili ni eneo la biashara TUMECHOKA!!
 
Kwasasa imekuwa kawaida; unaamka umeme unakuta umekatika au usiku unarudi nyumbani Mara hao wamekata.

Nakumbuka zamani kunakuwa na tangazo aidha kwenye gazeti au TV sehemu zitakosa umeme muda na tarehe ambapo MTU unajua kabisa kesho hakuna umeme muda flani mpaka muda flani.

Kwa sasa TANESCO kimyaaaa!
 
Labda wameamua kupunguza budget ya kutangaza kwenye 'Traditional media' wako social media...
 
Nasikitika hadi sasa Tanesco - mkoa wa Tabora hasa Tabora mjini bado mnafanya mambo ya urasimu, watu ni wengi sana waliiomba kupatiwa huduma ya umeme na shirika likatoa tathmini ikiwemo namba ya malipo (control number) watu wamelipa lakini kupatiwa huduma ya umeme inashindikana, visingizio vyenu vimekuwa nguzo hazipo, hilo suala la nguzo ni uongo, ukienda kata ya kiloleni kwenye ofisi yeni nyingine kuna nguzo nyingi sana (nimeambatanisha picha)....pia tofauti na kiloleni, maeneo mengi nguzo zipo chini tu zimelala

IMG_20210119_165136.jpg

1. Kwanini mnashindwa kuwapa wananchi haki yao na pesa yao mmechukua??
2. Kama mlikuwa hamna nguzo na tathmini mmetoa ikiwemo malipo pamoja na kulipia nguzo halafu mtu akilipa hapati huduma??
3. Kama huduma inashindikana kwa wkati msitoe control namba mtu alipie hadi mtakapokuwa mmejipanga
 
Tafadhali tambua mteja halipi nguzo wala mita kwa kuwa vyote hivi ni mali ya TANESCO bali mteja analipia gharama halisi ya kuunganishiwa umeme ambapo vijijini ni 27000 mijini 321000 ndani ya mita 30 kutoka kwenye miundombinu iliyopo
KAMA NI NJE YA MITA 30 KUTOKA KWENYE MIUNDOMBINU MNAFANYAJE??
 
Nasikitika hadi sasa Tanesco - mkoa wa Tabora hasa Tabora mjini bado mnafanya mambo ya urasimu, watu ni wengi sana waliiomba kupatiwa huduma ya umeme na shirika likatoa tathmini ikiwemo namba ya malipo (control number) watu wamelipa lakini kupatiwa huduma ya umeme inashindikana, visingizio vyenu vimekuwa nguzo hazipo, hilo suala la nguzo ni uongo, ukienda kata ya kiloleni kwenye ofisi yeni nyingine kuna nguzo nyingi sana (nimeambatanisha picha)....pia tofauti na kiloleni, maeneo mengi nguzo zipo chini tu zimelala

View attachment 1682002

1. Kwanini mnashindwa kuwapa wananchi haki yao na pesa yao mmechukua??
2. Kama mlikuwa hamna nguzo na tathmini mmetoa ikiwemo malipo pamoja na kulipia nguzo halafu mtu akilipa hapati huduma??
3. Kama huduma inashindikana kwa wkati msitoe control namba mtu alipie hadi mtakapokuwa mmejipanga
Mmedaiwa gharama ya nguzo?!
 
TANESCO Kimara mmeanza tena tabia yenu mbaya ya maudhi ya kukatakata umeme ovyo.Nnavyoandika Ijumaa hii now saa tano asubuhi Kimara mwisho hakuna umeme line yote.Juzi pia mlikata mida ya mchana mpaka jioni.Shughuli zetu zinasimama,mnatutia hasara sana.
 
Back
Top Bottom