Aisee huku tanesco pwani hapa vikindu kata ya kamegele Yani njooni muwashe jamani shida nini
 
Jamani msaada nataka kuweka umeme lakini hii CIU (Customer Interface Unit) namba zote hazibonyezeki kasoro zero

Shida itakuwa ni nini?
 
Tafadhali toa taarifa ofisi ya eneo lako au fika nacho kesho ofisini
 
Hii mpaka wataalamu wetu wa eneo lako wafike kwako
Kutokana na huduma ya uzi huu.
Nadhani kipekee nahisi kujivunia TANESCO, kwanza siku hizi mmetambua kuwa nyie ni watoa huduma na sio wapigaji Kama zamani. HONGERENI.

Naomba kuuliza mambo kadhaa.
1-Aina ya matumizi
2-Bei halisi ya unit moja
3-Bei halisi za meter.
4-Bei halisi ya nguzo.
5-Siku ngapi toka mteja amelipia TANESCO mnai giza umeme

Asanten.
 
Tafadhali tambua mteja halipi nguzo wala mita kwa kuwa vyote hivi ni mali ya TANESCO bali mteja analipia gharama halisi ya kuunganishiwa umeme ambapo vijijini ni 27000 mijini 321000 ndani ya mita 30 kutoka kwenye miundombinu iliyopo
 
Kutokana na huduma ya uzi huu.
Nadhani kipekee nahisi kujivunia TANESCO, kwanza siku hizi mmetambua kuwa nyie ni watoa huduma na sio wapigaji Kama zamani. HONGERENI.

Naomba kuuliza mambo kadhaa.
1-Aina ya matumizi
2-Bei halisi ya unit moja
3-Bei halisi za meter.
4-Bei halisi ya nguzo.
5-Siku ngapi toka mteja amelipia TANESCO mnai giza umeme

Asanten.
Mteja anaweza kufungiwa umene mara moja baada ya kulipia au kwa kuzingatia waliolipia mbele yake
 
Naomba kuuliza utaratibu wa kutengeneza mita ya kuingizia umeme(zile ndogo) kwani ilianguka na kioo hakifanyi kazi.
Niko Dar Es salaam

Natanguliza shukrani
 
Fika nayo ofisi ya eneo lako utawajibika kulipia ili kupatiwa remote nyingine
 
Habari..

Kutoka Chanika, mtaa wa gogo kwa ndevu mbili..

Umeme umekatika leo siku ya tatu, umewahi kufanya hivyo mwaka jana mwezi wa 10, ambapo ulikatika kwa siku 7 mpaka walipokuja Tanesco kurekebisha...

Ila kila tukipiga simu kwa meneja wa Tanesco kisarawe hapokei simu, na ukimtumia meseji ya malalamiko anabloku namba..

Vitu vinaharibika kwenhe friji, na hapa tunajua ili tusaidiwe ni mpaka huyu meneja mwenye kiburi ajisikie, tumewahi hadi kufika ofisini kwake na kulalamika lakini hatupati msaada..
 
Tafadhali onyesha namba yako ya simu na namba uliyotuma message
 
Kiukweli Kuna shida Sana Tanesco Mikocheni Dar,haiwezekani mteja amelipia mita ya 3 phase tangu 11/11/2020 mpaka leo wanasema mita hizo hazijafika,ivi kama hapa mjini ni shida hivi itakuaje kwa watu huko vijijini wenye viwanda vidogo vidogo?
 
Tafadhali onyesha namba ya simu
 
Hebu iga alichofanya mbunge wa nyamagana Mhe. Mabula kawafata TANESCO kuwauliza kuhusu umeme. Nenda wafate Tanesco Missugwi, eti wameshindwa kufunga umeme kuke nyangomango kwa kuwa hawana gari la kubeba transfoma, kweli? Kwenye hii enzi ya Magu, kuna ujinga wa aina hii?

Sasa usije kukaa kimyaa baadae ukatulaumu
 
Back
Top Bottom