Nimeomba Tangu November 5 sijajibiwa. Rejea post ya 8767. Unaambiwa tunalifanyia kazi, ndiyo imetoka hiyoWakuu Kuna aliyewahi kuomba namba za cmu humu na tanesco akasaidiwa??
Eleza ululivyosaidiwa
Mkuu Ahsante kwa kunipigia. Nimerudisha tumaini la kupata Huduma ya umeme niliyoisubiri Tangu niwasilishe fomu mwezi Juni Hadi leo. Naahidi kuleta feedback ikiwa nitapata msaada Natumaini utanisaidiaTulikuuliza wilaya gani?
Ya mwezi gani?
Wamenipigia usiku HuuWakuu Kuna aliyewahi kuomba namba za cmu humu na tanesco akasaidiwa??
Eleza ululivyosaidiwa
Je ni eneo gani?Ningependa kujua kutoka kwenu TANESCO
Mnalichukuliaje suala la umeme kukatika masaa zaidi ya matano na mstakabali wa uchumi?
Hivi tukiwaita nyie ni wahujumu uchumi wa taifa hili na wanachi wake tutakua tunakosea?
Hivi najua ni hasara kiasi gani tunazipata kila mnapokata umeme?
Yaani imekua kama desturi kwa umeme kukatika maeneo haya Tabata. Ni kwamba hamna wataalamu wenye kutatua changamoto kwa muda mrefu au shida ni nini?
Hivi hamjui kama mnakwamisha maendeleo?
Tunaomba kupata taarifa zako zaidi ikiwekaKero yangu watu wa kitengo cha survey Moshi mjini wamekua wanakwamisha juhudi za mh rais niliomba kuunganishiwa umeme sasa ni mwaka unakwenda nomesota sana kufungua malalamiko mwisho wa siku nimeaambiwa hawana usafiri siku ukiwepo watanistua kwaiyo nimekata tamaa baada ya kupoteza mda mwingi nafkiri mnahitaji washindani ili mfanye kazi kwa ueledi pia naomba msaada wenu kwa hili
Huku Moshi kuna tatizo gani, umeme unakatwa mara kwa mara kea muda mrefu na utaratibu unajirudia bila hata taarifa kama kuna uwezekano.Tunaomba kupata taarifa zako zaidi ikiweka
Jina
Eneo
Simu