TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

Kwa style hii eti nchi iendelee!😏
Huu mzigo wa kuiendesha nchi ni mzito sana kwa mama kizimkazi.

Sidhani kama Kuna mtanzania mwenye akili zake timamu atathubutu kumpigia kura tena.
 
Nimenunua sasa hivi ila token sijapata.
Nimeongea na tigo wanadai mtandao uko chini eti
Asaiv wamerudisha natumaini umepata.

Ila hakuna siku wamepata hasara(TANESCO) na wamesababisha hasara kubwa mno kwa wananchi(hadi huruma) kama leo..

Kuna haja kubwa mnoTANESCO wanatakiwa wajitafakari sana sana kwa upya .Hii hali ya leo kwa hakika imenitisha na imenihuzunisha kwa upana sana.

Nchi yangu Tanzania hakika unahitaji maombi mno..

Tunahitaji ufungulivu mkubwa sana wa kiroho na wa kimwili(mabadiliko yaliyo na tija ndani na mifumo ndani ya nchi) tukiendelea na utaratibu huu ni hatari sana.(wananchi hufikia wakati huchoka haijarishi ni kipindi gani na wakichoka inafahamika nini kitatokea) sio vizazi vyote vitakubali kuendelea kuishi katika taratibu hizi.
 
Tanesco hawajaligi masuala ya kupata hasara,wao ni bora liende

Ova
 
Yes nimepata ila too late tayari washanijeruhi, haka ka nchi basi tu acha nisiongee mengi.

Hata sielewi kwanini kitu muhimu hivi kwa ustawi wa uchumi wa nchi kinapatikana kwa kusua sua hivi katika zama hizi
 
Pole sana kwa hayo majeruhi uliyoyapata .Utakuwa sawa ila sumu inazidi kuwa kubwa ndani.
 
Habari wanajamvi,

Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network.

Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia sio shida yao, means ni TANESCO na system yao ya LUKU. Imagine tangu saa moja mpaka sasa ishu bado haijawa solved.

HII NCHI NI TAKATAKA WALLAH!
Suala lako lipo Mezani tunasubiri vikao vikae
 
Tatizo mnafatilia habari za kina harmo kubambia matako tiktok za maana mnapuuza.

Walitoa tangazo.
Ishu ni kwamba tangazo lilitoka wakati tayari tatizo limeanza, hata kama tungekuwa aware na hayo mambo still isingesaidia Mkuu.
 
Mlionunua Tutoeni Hofu
Una Pesa Ya Kuunga Halafu Ununue Usipate Chochote Pressure Inaweza Kupanda
 
Pole sana kwa hayo majeruhi uliyoyapata .Utakuwa sawa ila sumu inazidi kuwa kubwa ndani.
Asante🙏🙏

Tuombee tu hili taifa kizazi kijacho kikute haya yameisha la sivyo sijui....
Kuna dogo wa 11yrs anakwambia amejiapiza hata siku moja hatakaa aimbe ule wimbo wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote shuleni au popote.

Dogo ana list ya vitu vyake vinavyofanya aichukie Tanzania yetu nzuri na la umeme ni mojawapo.

Nawaza hawa madogo wa hivi wakikua itakuwaje hapo badae?
 
Duh aisee hii ni hatari mno..Miaka 11 anapitia wakati mzito kama huu..kwa hakika uzalendo wa kweli ndani ya mioyo mingi ya watanzania umepoa sana.Mioyo imejaa visasi na uharibifu juu ya watawala.
 
Walitoa tangazo
Ingawa hii issue imepita ukisema walitoa Tangazo mtu anaweza kudhani kwamba walitoa Tangazo kabla ili mtu ajitayarishe..., LAKINI hapa ni kwamba wametoa Tangazo..., Yaani ni kama mtu unaungua moto alafu ushaungua na kuwa majivu ndio alarm ya moto inakwambia KUNA MOTO...

TANESCO Jirekebisheni... This is not Cool !!!!
 
Back
Top Bottom