TANESCO kugawanywa katika kampuni tatu (gazeti la majira)

Kama hii nik kweli itakuwa ni jambo zuri maana litanesco ni likubwa mno kisi kwamba ufanisi inakuwa kitendawili sometimes. Na kwa muundo huu ina maana utapeli utakuwa kiasi flani limited!
Nimekuelewa.Ila,huu ulikuwa ni ushauri wa IMF kwenye kubinafshisha hili shirika.Itakuwa rahisi kuinvest kwenye generation,transmission itakuwa vigumu kwani miundombinu ya tanesco ni ya kizee na hii uharibu efficciency ya generation kwani umeme hupotea kiasi fulani during transmission.
Distribution,hii nayo ni kazi kwani kuna political economic issues ambazo inabidi zifanyiwe kazi na hii haivutii uwekezaji.
MY VIEW
Holly sh*t we are srewed!!!
 
generation,transmission,distribution
generation-uzalishaji wa umeme kama vile mtera dam
transmission- usafirishaji wa umeme kutoka mtera kwenda grid ya taifa
distribution- ugawaji toka grid ya taifa mpaka tandika!

i stand to be corrected tho!

upo sahihi mkuu... Ila ushauri wangu... Nilazima yabinafsishwe labda transmission tu ndio ibaki kwa serikali otherwise matatizo yatakuwa palepale hata kama watafanya kila department kuwa kampuni.

Serikalini ni usaniii mtupu!!
 
Nimekuelewa.Ila,huu ulikuwa ni ushauri wa IMF kwenye kubinafshisha hili shirika.Itakuwa rahisi kuinvest kwenye generation,transmission itakuwa vigumu kwani miundombinu ya tanesco ni ya kizee na hii uharibu efficciency ya generation kwani umeme hupotea kiasi fulani during transmission.
Distribution,hii nayo ni kazi kwani kuna political economic issues ambazo inabidi zifanyiwe kazi na hii haivutii uwekezaji.
MY VIEW
Holly sh*t we are srewed!!!

Uwepo umakini ndipo ufanisi utafikiwa, vinginevyo ni kumuongezea mteja gharama, ukitilia maanani itabidi kuwe na CEO watatu na wakurugenzi kibao ambao watapa mshiko wa kutosha kwa gharama ya mlaji wa umeme. Labda watendaji watoke mbinguni ndipo ufanisi utapatikana, halafu zana ya kusubiri NET GROUP SOLN iwekwe pembeni
 
Absolutely!...I'm wondering if jamii see this.

MY VIEW!
When announcing BAVICHA results,Mnyika,as a shadow minister must address this issue,I wanna hear his views!.......yeah,I dare you!!!
 
I support the idea! Very great. Another small department to coordinate the three departments
 
Electricity generation is the process of generating electric energy from other forms of energy (Mtera, Kidatu, Nyumba ya mungu).

Electric power transmission or "high voltage electric transmission" is the bulk transfer of electrical energy, from generating power plants to substations located near population centers.

Electricity distribution is the final stage in the delivery (before retail) of electricity to end users. A distribution system's network carries electricity from the transmission system and delivers it to consumers.

Nafikiri walikuwa wamechelewa kufanya hivi.

TTCL pia inatakiwa kugawanywa katika makampuni mbali mbali.
 
It is a move in a very right direction.
(1) Production (Uzalishaji): Tanesco, Aggreko, Dowans, Song gas etc
(2) Transmission (Usafirishaji): Uzoefu unaonyesha is done by publicly-owned company sababu ya cost implications. For commercial viability reasons, hakuna kampuni binafsi ingepeleka umeme vijijini kwani hailipi.
(3) distribution (Usambazaji): Deal with connections to the final consumers, in broad its broad sense deals with sales and distribution. To encourage competition and efficiency, through tendering process makampuni kadhaa yanaweza yakapewa ridhaa hiyo mathalani DSM, tusema contract period ya miaka 5, baada ya hapo tender mpya.

Bora kukawia lakini .........
Once more it is a right move.
 
Hitowezekana kubinafsisha transmission and distribution.Walijaribu kubinafsisha distribution kwenye kitengo cha collection,mapato yalipanda sana,ila mkato waliokuwa wanauchukua wasouth ulikuwa mkubwa kwa hiyo wakawatolea nje.Hii ni disaster waiting to happen,in short term it may look ok,but this means pushing away the rural population and the poor,since our natural resources were meant for us to utilize and benefit from,I blame our leaders for failing to carry the torch,they ruined mtera,they didnt take care of the infrastructure,and ruined electrification.Now they are going to hand this mess to capitalists who don give a damn about the rural poor and will never transmit nor distribute at a break even point.

Why is water not a form of wealth until someone owns it?....air,peace,freedom.....why?
 
Generation,transmission,distribution
generation-uzalishaji wa umeme kama vile mtera dam
transmission- usafirishaji wa umeme kutoka mtera kwenda grid ya taifa
distribution- ugawaji toka grid ya taifa mpaka tandika!

I stand to be corrected tho!

uko sawa mkuu nami nafikiri vivyo hivyo
 
Looking from supply chain management => supply side from the producers to the firm; physical distribution from the firm to the customers.

So there are three parties: producers, suppliers and distributors.
 
Generation,transmission,distribution
generation-uzalishaji wa umeme kama vile mtera dam
transmission- usafirishaji wa umeme kutoka mtera kwenda grid ya taifa
distribution- ugawaji toka grid ya taifa mpaka tandika!

I stand to be corrected tho!

nimeipenda
 
Watafiti kama akina Marandu waliwahi kupendekeza hivyo miaka ya 2004..mabadiliko haya yakifanywa kwa umakini yanaweza kuleta tija.
 
upo sahihi mkuu... Ila ushauri wangu... Nilazima yabinafsishwe labda transmission tu ndio ibaki kwa serikali otherwise matatizo yatakuwa palepale hata kama watafanya kila department kuwa kampuni.

Serikalini ni usaniii mtupu!!

Mkuu umenifurahisha sana... yaani nimecheka hapo uliposema "hata kama watafanya kila department kuwa kampuni"

Ukweli ni kwamba hiyo move ni ya kupuuzi sana haitakuwa na tija and will never add value.

From a governance point of view ni kwamba hiyo move itawasaidia viongozi wetu corrupt kuaccess na kumisuse resource ktk hayo makampuni period.

From a very simple logic ni kwamba hizo shughuli tatu hapo juu zinahusiana sana kwa hivyo njia yoyote ya kuzitenganisha itaongeza inefficiencies badala ya kuboresha. Fikiria kampuni ya uzambazaji itakavyohitajika kupata data za uzalishaji ili iweze kuplan uzambaji and vice vesa.

Nimeseme tu huu ni mfano mwingine mzuri wa watu address issue ambazo sio issue. Matatizo ya Tanesco kushindwa kufua umeme wa uhakika have nothing to do with organization structure. Hizo efforts wanazotumia kuredesign structure ya Tanesco wangezitumia kutafuta majibu ya kuwa na umeme wa uhakika.
 
Hitowezekana kubinafsisha transmission and distribution.Walijaribu kubinafsisha distribution kwenye kitengo cha collection,mapato yalipanda sana,ila mkato waliokuwa wanauchukua wasouth ulikuwa mkubwa kwa hiyo wakawatolea nje.Hii ni disaster waiting to happen,in short term it may look ok,but this means pushing away the rural population and the poor,since our natural resources were meant for us to utilize and benefit from,I blame our leaders for failing to carry the torch,they ruined mtera,they didnt take care of the infrastructure,and ruined electrification.Now they are going to hand this mess to capitalists who don give a damn about the rural poor and will never transmit nor distribute at a break even point.

Why is water not a form of wealth until someone owns it?....air,peace,freedom.....why?

Well said Mkuu.......heshima mbele

Hakuna anyesikia wala kusoma............ushauri walipewa siku nyingi namna ya kuondokana na adha ya iliyopo sasa.........mijitu imebakia kufikiria mitumbo yao...........Damn!
 
Back
Top Bottom