Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme.
Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu.
Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini.
Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo vya habari nimegundua Tanesco imeingia mikataba ambayo haikulenga kuzalishaji wa umeme na ujenzi wa bwawa la umeme.
Wasiwasi Hawana pesa tena ya kugharamia Gharama kubwa ya kuzalisha umeme wa gesi.
Hivyo imani yangu inanituma kuwa baadhi generator za gasi either kutoka na madeni, uchakavu wa mitambo, au ukosefu wa fedha kugharamia Bomba la Gasi na gasi yenyewe.
Matumizi hayo kutokana taarifa Bunge Bajeti ya 2021/2022 billion 800 ilienda kwenye nguzo za zege na miundombinu mingine.
Matumizi ya cll center na utafiti wa muundo mbinu na uboreshaji wa utendaji wa Tanesco na uboreshaji wa Luku umechota hela nyingi sana.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari Mimi naamini Tanesco ipo Taabani maana utendaji wa Tanesco uliitaji usimamizi makini sana