Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
Smiles saidia hapa....huyu ameongoka bila ya shaka yeyote.
Kamati kuu itakaa ijumaa kujadili huu upuuzi wako. Kimsingi umeonyesha uzembe Wa hali ya juu.
Na bado wengine watafuata.....
kuonesha wazi kuwa hili suala la infidelity sio sahihi kabisa....:mad2: