duh, natamani kuuliza swali la kijinga sababu sijui kiukweli.
Itabidi mwalimu, nikuPM tu.
mmh....mbona hajaweka warning kuwa hapa ni 'kwa wanawake tu?'
kuuliza ni kujifunza my dear ..
ukiuliza wewe wengi watafaidi..
kama unaona sooo unaweza kuni PM au
nikafungua thread kwa faida ya wote "your choice"
Unatembeaje na kitu kati ya miguu?
Ukitembea si ni kama una du?
Heavy flows?
Kurwa hamieni kwa wakubwa bana. . . .
Haya ngoja ninyamaze, sema ikiwa hapa nashawishika kufungua.Tukafanye nini kule Doto?
hamna tusi hapa bana acha hivyo
ukiendelea kusema sema tutahamishwa kweli .. :disapointed:
Haya ngoja ninyamaze, sema ikiwa hapa nashawishika kufungua.
BTW unataka umbea?
Haya ngoja ninyamaze, sema ikiwa hapa nashawishika kufungua.
BTW unataka umbea?
Unaona kama vile tunaongelea barazani na watoto wanatusikia? Ila kweli kama vile atuite nyumbani atufundishe
hapa mikono na midomo imefungwa.
Umbea 'YES PLEASE" hahahahah lol
Yeahh atupeleke chumbani hata wenye aibu zao wafunguke.Unaona kama vile tunaongelea barazani na watoto wanatusikia? Ila kweli kama vile atuite nyumbani atufundishe
hapa mikono na midomo imefungwa.
Hhhm!!Mama usipitwe, nwy nikumbushe baada ya wiki.
Doto nipe umbea kabla sjanuna...
Nikumbushe baada ya wiki bana. . . .