TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

Hahahahaahahah
Vipi Wozoza mbona unacheka, unajua kuna watu wanafikiri siasa ni lele mama kwamba mtu atakupamba pamba kwa kuuza sura, siasa ni ngumi jiwe watu wanamwagiwa maji ya upupu na kupigwa mabomu unafikiri wamependa haina tofauti na hapa lazima uvumilie otherwise unaachia ngazi.
 
Nothing they say straight forward, just going around the bush while wamiliki wote wanajulikana, hawa ni wanafiki wakubwa, wanaitaja CDM eti imepauka, Dr Slaa mtu wa
kumwogopa for his personal matters, these UVCCM are best hypocrite, foolish, vihiyo,
like their leaders, & they know for sure most youth are on CDM side right now, can you
imagine wanapinga hata Sitta & Dr. Mwakyembe wanavyokemea Dowans wasilipwe? then
wenyewe wanapendekeza Dowans wasilipwe then what is wha..!!t? which-which...!!? ndio
maana nasema hawa ni wapuuzi na hawajui wanasema nini, just kutetea matumbo yao,
vijana hawako nao tena, nani mjinga with all this tough life. hili tangazo linawahusu
wao period, sijaona kitu, kutapatapa
 
Kama ni kweli wafuasi wao wenyewe wanaonyesha kutokuridhishwa na mambo yanavyoenda tutafika huko tuendako!

crap!!!

yaani unaamini uvccm wana ubavu wa kuzungumza waliyozungumza?

hujasikia ya 6 kusema ajafungwa mdomo (wakati kweli kafungwa)?

wewe lala kesho uende kazini kwako tu mkuu.
 
Niliandika hivi kwenye fb yangu jana:
t just hit me.. President might come out the hero of Dowans saga. I have been wondering what is the meaning of his silence. Then like lightning in the middle of the night; it hit me. What if he would emerge the hero by stopping Dowans payments like what he did with the New Constitution? Brilliant!


Tatizo ni kuwa hali iliyopo ni 'damn if you do and damn if you don't'. Akikubali Dowans walipwe Mwakyembe na Sita ni lazima wajiuzulu. Akisema kuwa wasilipwe AG na Ngeleja lazima nao wajiuzulu.
Mkuu, hilo litawezekana mahali pengine sio Tanzania
 
Siamini tamko hili.

mtu au kikundi cha watu wanaomuita Kikwete Dokta ni wanafiki.

lolote wanalosema usiliamini.
 
Hicho kipengele B mmekipitia lakini "MPANGO WA DR. SLAA NA CHADEMA WA KUVURUGA AMANI NA KUFANYA NCHI ISITAWALIKE"
 
naona hawana jipya wangeongelea pia suala la uvunjifu wa taratibu uliofanywa na wakubwa zao Arusha na kusababisha vifo vya watu wanne kama kweli wana maana! Na si kumshambulia Dr (wa Ukweli) Slaa ina maana kama mchumba wake amemuacha bwana wake yao inawahusu nini? na huko kufukuzwa kanisani mbona sijawahi sikia?
 
Weka wamiliki halali na tumjue aliyefungua kesi ndo huyo mmiliki wa kwanza ndo alipe sio fweza za wadanganyika kila siku
 
Sasa nawaomba rasmi Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) walijibu tamko hili la Uvccm ndani masaa 48.
Pls mnyika kama unaperuzi sasa hivi JF pls wafikishie ujumbe huu makao makuu, tunasubili majibu ya haraka.
 
statement ya uvccm kisiasa sio mbaya ni nzuri ila wamekosea sana kutumia jazba kwenye suala la chadema.....kama institution hawakutakiwa kutumia lugha ya mitaani,kihuni na matusi ...dhidi ya chadema na slaa wao......maana watasababisha watu wahame kujadili katiba na dowans waingie kujibu tuhuma personal za dr slaa especially kama chadema nao wataamua kumshambulia rais kikwete kwenye mambo yake binafsi...tutahama kabisa kwenye mijadala ya kitaifa!
 
Wapuuzi tu hao wanatuchanganya hawawezi kujitenga na baba zao, UVCCM UVCCM wakamweleze Kikwete sio sisi. Sisi tunachapa mwendo watasema watanyamaza nchi tumeshachukua wapenda maendeleo. Harafu mimi nimeona sio watu wanaofikiri kama walivyosema maana wasingemlaumu Dr. Slaa maana hakushika bunduki na kufyatua risasi, sasa hao wanaweza sema 'No research no right to speak'? kwendeni zenu huko
 
sasa nawaomba rasmi baraza la vijana la chadema (bavicha) walijibu tamko hili la uvccm ndani masaa 48.
Pls mnyika kama unaperuzi sasa hivi jf pls wafikishie ujumbe huu makao makuu, tunasubili majibu ya haraka.

wajibu issue za msingi..lakini nawashauri waachane na kujibu matusi ya nguoni...kwani itasababisha tuhame kabisa kitaifa kwenye hoja za msingi.......

 
statement ya uvccm kisiasa sio mbaya ni nzuri ila wamekosea sana kutumia jazba kwenye suala la chadema.....kama institution hawakutakiwa kutumia lugha ya mitaani,kihuni na matusi ...dhidi ya chadema na slaa wao......maana watasababisha watu wahame kujadili katiba na dowans waingie kujibu tuhuma personal za dr slaa especially kama chadema nao wataamua kumshambulia rais kikwete kwenye mambo yake binafsi...tutahama kabisa kwenye mijadala ya kitaifa!

every time they attack chadema i feel a million times more in love with chadema.

to hell with them (uvccm)

viva chadema! viva dr. slaa!!
 
walisoma gazeti la mwanahalisi wakaona mauaji yalifanyikaje? mnaongezeeana mtindio wa ubongo na jamaa zenu tu
 
Wapuuzi tu hao wanatuchanganya hawawezi kujitenga na baba zao, UVCCM UVCCM wakamweleze Kikwete sio sisi. Sisi tunachapa mwendo watasema watanyamaza nchi tumeshachukua wapenda maendeleo. Harafu mimi nimeona sio watu wanaofikiri kama walivyosema maana wasingemlaumu Dr. Slaa maana hakushika bunduki na kufyatua risasi, sasa hao wanaweza sema 'No research no right to speak'? kwendeni zenu huko

Nadhani kwa waliosoma GAZETI LA MWANAHALISI wamesoma mazingira ya kuuliwa wale wahanga kinyume na inavyodaiwa na PILISI kuwa waliwauwa kuzuia utekaji wa kituo au vituo imeonekana dhahiri kuwa waliuliwa umbali wa wastani Kilometa mbili toka kwenye kituo chochote cha polisi .......yaani hapakuwa na viashiria vya kuhalalisha mauwaji kama walivyosema Polisi
 
Wana JF tamko la UVCCM ni la kinafiki limejaa chuki, majungu hususani kwa Dr. Slaa. Umoja huu ulishapoteza mwelekeo hivyo sasa wameamua kurudisha imani kwa vijana kwa kugusa mada ambazo zina mashiko na kujitia kulaani lakini ni wanafiki ambao katu siwezi kuwasikiliza.

Wana JF kwa kauli walizozotoa juu ya Dr. sina imani na yote waliypoyasema kabisa, kuingilia maisha ya watu binafsi ni unafiki, uzandiki na zaidi ya ufisadi!!!!

Mbona JK hawajazungumza maovu yake wakati yapo wazi kwa waTZ!

Kwa unafiki huu, kazi ipo.
 
I cant believe you guys have been taken away by the uvccm trick so easily like that...
 
Back
Top Bottom