Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Chadema kila wakati nasema "wanatafuta cheap popularity", walianza na maandamano limeshindikana, wakaja la kugomea dhamana na kulazimisha wananchi wakeshe uwanjani nalo limeshindikana. Sasa wanakuja kivingine kwa kujifanya kwenda ikulu. Upuuzi mtupu.