Tamko la dr. Slaa kuhusu amri ya hakimu arusha

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
1,872
1,235
Wazee nimesika kwa mabli kwenye TBC kuwa Dr. slaa katoa tamko kuhusu amri ya hakimu kule Arusha ya kutaka wakamatwe. Aliyesikia alilosema atujuvye.
 
Kesi ya jinai haiwezi kusikilizwa kama mstakiwa mmoja hayupo so wao kama viongozi wa kitaifa na wabunge kupitia wakili wao waliomba kutohudhuria mahakamni hadi hapo mshtakiwa mwenzao atakapokuwa kwenye hali ya kiafya itakayo mruhusu kuhudhuria mahakamni ili kesi iendelee. Hiki ndicho alicho sema Dr. W.P. Slaa
 
Ngojea tusikie lini watakamatwa ndipo tutajua kwamba huyu hakimu ni mmanyi wa sheria za makosa ya jinai
 
Kesi ya jinai haiwezi kusikilizwa kama mstakiwa mmoja hayupo so wao kama viongozi wa kitaifa na wabunge kupitia wakili wao waliomba kutohudhuria mahakamni hadi hapo mshtakiwa mwenzao atakapokuwa kwenye hali ya kiafya itakayo mruhusu kuhudhuria mahakamni ili kesi iendelee. Hiki ndicho alicho sema Dr. W.P. Slaa
Mbona mwengine alisema ni sababu za kazi za kamati sio ugonjwa?
 
Back
Top Bottom