Tamko la CHADEMA kukanusha madai ya CUF kufanyiwa vurugu Arusha

kweli CUF ndio kiboko ya CHADEMA, Mkwara wa nguvu wamelegea kama mtoto wa kike, CUF sio CCM fujo wafanyieni CCM sio CUF. sawa sawa?

afu mnataka tuwape nchi? Kwa mtindo huu uchaguzi ujao hampati hata jimbo 1. Bakini huko Zanzibar.
 
Kuwajibu au kuwatolea tamko hawa wapumbavu wa bondeni ni kupoteza muda!They better keep silent!
Leo walikuwa misikitini sasa ukiwaacha waeneze hiyo sumu yao inaweza kutusumbua baadae...
 
chadema mmejibu kwa hekima na akili ya hali ya juu. CUF wanataka mtifuano ili na wao wawe talk of the city hapo mjini na kwa vile wao wapo kwenye mpango wa kuua upinzani Tanzania they have nothing to loose. Hawa jamaa utashangaa watafanya siasa kwenye misikiti ikifika hapo cdm msiwasalie mtume muwasute kwa wananchi na kuwafanya waondoke mjini maana siasa ya udini ni mbaya kuliko.
 
Kwani walowapopoa CUF walikuwa na kiashiria chochote kuonyesha kuwa ni CDM? tahadhari kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo, so wachanyanye akili zao na za kuambiwa i.e. according 2 mkulu wa kaya.
 
Wakuu, nadhani kuna kitu hakiko sawa hapa.

Je hao wamachinga ndio CHADEMA au kulikuwa na wamachinga pamoja na wanachama ktk eneo hilo la soko?

Nafikiri taarifa hii pia haijakidhi haja ya maswali niliyonayo. In fact sielewi mantiki yake.

Halafu taarifa hii ni too little too late.
Baada ya kipigo cha Mwanza.
 
KAFU msianze kuleta visingizio vyenu vya kitoto ili msifanye mkutano Arusha.

Please karibuni Arusha.
 
Inashangaza kuona CUF wamepigwa na wamachinga halafu wanadai ni chadema. CDM mjiandae kusingiziwa mnafanya utekaji wa meli bahari ya hindi. Nimemsoma na DC wa arusha anasema chadema ndio wamefanya hiyo vurugu, hivi hii serikali mbona imejaa vichaa na wendawazimu???
 
Hii tabia ya watu fulani kufanya kitu alafu mnasingizia wengine siyo nzuri. Kwa mfano yule mmarekani aliyetengeneza filam.
 
Asante sana kwa taarifa. Hata mimi nilishangaa sana maana najua katika wale wafanyabiashara si kuwa walikuwa wanachadema. Huwezi kuniambia kuwa eti watu wote Arusha ni CDM? Kama ingekuwa hivyo basi mgombea wa SSM, CUF na vyama vingine visingepata kura mwaka 2010. Huwezi kuvamiwa na mtu ambaye hujamkamata na kadi ya chama halafu unasema ni CDM. At the same time wale Green Guards wa SSM hadi leo wako kazini kuanzisha fujo katika mikutano ya CDM. CDM kimehakikishia umma ni chama cha amani sana pale ambapo kama wanafanya shughuli zao bila polisi zinaenda salama kabisa. Kuanzia leo jeshi la polisi lijifunze kuwa CDM hawahitaji polisi wa kutuliza ghasia katika mkusanyiko wao bali wale wa kulinda usalama tu. Shame on you SSM B.
 
Hawa cuf wanatakiwa watambue juzi hakukuwa na mkutano wa chadema Arusha ilikuwa ni wavuja jasho wanatafuta haki yao.Haikuwa busara kwa cuf kwenda pale kuwatangazia mkutano wangesubiri wamachiga wapate haki yao ndio waanze matangazo yao.kitendo walichokifanya Cuf ni sawa na kwenda msibani na kutangaza kuwa kutakuwa na disko kwa mfiwa usiku.Je nani kawambia wamachiga wote wa Arusha ni Chadema .Je mawe yaliyorushwa yalikuwa na bendera za Chadema Kama kithibitisho?

ata mimi cuf wananishangaza mbona walipigwa na wamachinga ,cuf wazima kweli !'!?? ? ,
 
CUF inalalamika hivyo, mbona hawasemi kigezo walichotumia kugundua kwamba watu walorusha mawe walikuwa CDM
 
Hawa cuf wanatakiwa watambue juzi hakukuwa na mkutano wa chadema Arusha ilikuwa ni wavuja jasho wanatafuta haki yao.Haikuwa busara kwa cuf kwenda pale kuwatangazia mkutano wangesubiri wamachiga wapate haki yao ndio waanze matangazo yao.kitendo walichokifanya Cuf ni sawa na kwenda msibani na kutangaza kuwa kutakuwa na disko kwa mfiwa usiku.Je nani kawambia wamachiga wote wa Arusha ni Chadema .Je mawe yaliyorushwa yalikuwa na bendera za Chadema Kama kithibitisho?

kuna mdau mmoja kasema alikuwepo eneo la tukio, na wale waliokuwa wanatoa matangazo ya kafu walikasirishwa na kitendo cha wamachinga kuonyesha vidole 2 "V"

sasa wao(kafu) kulipizia wakaonyesha kidole cha kati kimoja huku wakichovya mdomon na kuonyesha juu.

kumbe kwa machalii hiyo kama kuwakashifu ndo wakawarushia mawe.
 
Asante sana kwa taarifa. Hata mimi nilishangaa sana maana najua katika wale wafanyabiashara si kuwa walikuwa wanachadema. Huwezi kuniambia kuwa eti watu wote Arusha ni CDM? Kama ingekuwa hivyo basi mgombea wa SSM, CUF na vyama vingine visingepata kura mwaka 2010. Huwezi kuvamiwa na mtu ambaye hujamkamata na kadi ya chama halafu unasema ni CDM. At the same time wale Green Guards wa SSM hadi leo wako kazini kuanzisha fujo katika mikutano ya CDM. CDM kimehakikishia umma ni chama cha amani sana pale ambapo kama wanafanya shughuli zao bila polisi zinaenda salama kabisa. Kuanzia leo jeshi la polisi lijifunze kuwa CDM hawahitaji polisi wa kutuliza ghasia katika mkusanyiko wao bali wale wa kulinda usalama tu. Shame on you SSM B.
inasemekana ssm wameandaa mkakati wa kuwanunulia watu jez/gwanda la chadema (mamluki) alafu wanafanya fujo ili waonekane ni chadema
 
Back
Top Bottom