Tamko kutoka jumiya na taasisi za kiislam (t)

Status
Not open for further replies.
Huku Zanzibar nako kuna mfumo Kristo?
Hawa wachochezi wanaweza kuelezea nini kuhusu backwardness iliyoko huko Zanzibar ambako 99% ni waislam na hata uongozi, sheria na taratibu zimekaa kiislam zaidi?
Kwanini wanafanya fujo huko Zanzibar?
 
Vipi kuhusu yule mtoto wa kiislam aliyekojolea korani kule Zenj, hao mashekhe mbona hatuoni maoni yao? mbona hatujasikia Muslims wakivamia misikiti kule, au kule hakuna misikiti?

mtu mzima hatishiwi nyau, watoto wataniane huko, watu wazima wahamasishe kuchoma makanisa, kisa ugomvi wa utani wa watoto, huu ni ujinga uliopitiliza.

Eti leo kaja mtu mzima na akili yake sio kichaa, eti Ponda anaonewa, kilichofanya Ponda akamatwe ni matendo yake maovu sio uislam wake- period. Mtu anahamasisha kuvuruga mipango ya serikali, aangaliwe tu kisa ni mwislam, asiguswe, alaa!!!! kwani akiguswa eti muslims wataandamana, let the dare!!!!!!!!anavamia viwanja vya watu aangaliwe, kisa mwislam!! alaaaa!!! lazima afanywe kama wale wavamizi wa kule Kinondoni, mnakumbuka!!! huu ni upuuzi mwingine kuvumiliwa na wenye akili na hekima zao.

Kumbe muslims (kundi la akina Ponda) walitaka serikali na kanisa liseme waislamu tunawashukuruni sana kwa kuiba pesa na vifaa kanisani, kula vilivyo wekwa wakfu, kuharibu magari, kuchoma madhabahu, kuharibu samani!!!!. Serikali imefanya kazi yake nzuri imewakamata, na haiwaachii, mpaka kieleweke kwa hakimu.
Nasema wale walioapa kuilinda Katiba lazima watasimama kupambana na huu upuuzi tena kwa gharama yoyote, maana wanajua wasipofanya hivyo watashitakiwa, MUSLIMS (especially wale design za akina Ponda) wajue kuwa they are not above the law. Law of the jungle does not work here, what works here is the rule of law. Let you dare, and see the music

KWELI KUNDI LA PONDA HATARI LINATUNGA UWONGO KUSEEK SYMPATHY!!! Leo watu wazima wanasema eti Mkuu wa Nchi katukanwa kwa dini yake na uislam wake. Kwa mtu yeyote mwenye busara anajua huu ni uwongo uliopikwa ili kuseek sympathy kutoka kwa Mkuu wa Nchi ili naye aonekane ni victim wa hii kitu. Eti matusi yale hayakuripotiwa na wanahabari, waripoti kitu gani? wanahabari wasingeripoti kitu ambacho hakipo.

Kuonesha kuwa huo ni uwongo mnawasingizia polisi, mbona habari hizo za matusi kwa JK, wizi na uchomaji, utumiaji wa risasi za moto, hazikuonekana ktk majukwa huru kama hapa JF, ktk blogs mfano michuzi, nk, mbalimbali ina maana huko nako waandishi wa habari walizuia habari kutolewa. ENYI WAFUASI WA PONDA ACHENI KUZUSHA UWONGO kwa manufaa yenu,
 
Hawa jamaa hawana lolote ila wana hamu ya kula mkong'oto wa mbwa mwizi, wanatafuta visa tu ili vurugu zianze wapate kula mikate ya sakramenti na mvinyo ila safari hii hawapati kitu zaidi ya kipondo kitakatifu! kwanza angalia uongo wao eti askari waliokuwa kwenye operation walikuwa wakitusi uislam na qur'an na hata rais jk kwa kuwa ni muislam, huu ni uongo usiokubalika maana wanataka kutuaminisha kuwa miongoni mwa wale askari hapakuwepo walio waislam! uongo mtupu, au hawataki kuamini kuwa askari muislam anaweza kutembeza kichapo kwa waislam wenzake! wajue wale wapo kazini na wanapotekeleza amri hawajali cha dini, kabila wala udugu ni 'kumkoma nyani tu' halafu wanataka kufananisha vurugu na fujo zao na ule mgogoro baina wakristo wenyewe kwa wenyewe kule kaskazini- ni vitu tofauti kabisa kwani walisikia wakristo wakichoma misikiti!? ama kweli hawa jamaa ni punguani si kidogo! sasa kila siku kazi ni kulalamika mfumo kristo mfumo kristo hivi hawa watu vipi? wako sawa kwenye bongo zao? katika nchi hii ambapo rais, makamu wa rais, IGP, mkuu wa usalama wa taifa, jaji mkuu, waziri wa ulinzi, kamanda kanda maalum DSM n.k wooote hao ni waislam! na wakristo hawalalamiki ila wao ndo kulalamika kila kukicha, je ingekuwa viongozi hao wote niliowataja ni wakristo, hawa jamaa si ndio wangedhikiri na kuandamana uchi! mimi kila siku huwa najiuliza hivi upunguani wa hawa jamaa unatokana na uelewa wa mtu binafsi au unatokana na maudhui ya imani yao!!!? mwenye jibu sahihi naomba anisaidie.
 
haya mambo yanashangaza sana,ina maana mkristo anatoa pesa mfukoni ananunua Quran then anaikojolea ,duh sipati picha .Au muislam anatoa quran anamkabidhi mkristo aikojolee .Sipati majibu jamani nisaidieni..
 
Na huko Somalia ambapo Waislamu wanachinjana wenyewe kwa wenyewe kuna mfumo wa Kikristo? Ujinga ni sumu kali kuliko hata sumu ya koboko!!
 
Hawa wajamaa wameamua kutumia ile mbinu ya shehe wa Pakistan ya kumsingizia binti wa kikisto kuwa kachana qurani, kumbe ni uongo.
 
Mtendwa akitendewa..... Kuweni na busara katika maamuzi.... Munadhani kuchoma makanisa kunasaidia nini zaidi ya kupata kichapo kikali tu toka kwa polisi?

Mkuu Kiswahili kizuri ni "Mtenda akitendewa..........." Au umeshasahau methali zetu enzi zile?
 
Mbona mabinti na wanawake wengi tu wa kiislam wanakojolewa na wanaume wa kikristo lakini siwaoni hao wanaojiita waislam waandamane, na au hata watoe tamko.

Aah! ndugu zanguni waislam hivi ni nani aliyewaloga? Anyway majeshi yetu yamejiandaa vizuri kabisa kiakili na kivifaa
Kupambana na waislam wote watakaoleta uboko haram wao.
 
hawa watakua chadema tu ndio wanaokojolea vitabu vitakatifu

vipi jumuiya imesahau zanzibar kuna muislamu naye alikojolea??? au yule ni sawa?
 
sasa wanaandamana kwenda kwa Pinda kufanya nini?? kwanini wasiende ikulu kabisa??

these guys are nuts, and they need some education kujenga uelewa wa maisha

if i was Pinda ningesema waacheni, wangefika pale na kwasbabu hawana agenda, wangebung'aa mwisho watawanyike tu
 
safari hii mtatukoma na hivi sisi waislamu tunabaguliwa hatuna kazi za kufanya ndiomaana muda mwingi tunashinda msikitini kwa kuwa hatujasoma,kesho tumepata kazi ya kuandama na kuchoma makanisa na vibanda vya yule mdudu mtamu ambaye tunamsingizia kuwa ni haramu(kitimoto),mtatukoma kwann mnatuonea hivyo sisi waislam jaman..tuaanza kujilipua

jilipueni tu hamna jipya
 
Kwa kifupi kuna mkakati mkali sana ku ISLAMICIZE Tanzania.
Maoni waliyopeleka kwenye Tume ya Katika ni ushahidi tosha wa azma yao hii.Baadhi yao ni kama ifuatavyo:
1. Serikali ianzishe Mahakama za Kadhi
2. Ijumaa iwe siku ya kupumzika ( kwa vile ati Jumamosi na Jumapili ni siku za Wakristo).Na wapagani wasio na dini inakuwaje?
3. Serikali ifute MOU na Kanisa ( hapo wamesahau kuwa hata Rais aliwapa changamoto nao waombe kwa kupeleka proposal ya nini wanafanyia jamii ili iwepo MoU kama ya Kanisa. Hawajapeleka hadi leo.Pia wamesahau kuwa waislam wenzao wa Agha Khan ambao wana structures na systems zinazoeleweka nao wana MoU na serikali.Hili hawalizungumzii kabisa!)

Point 2 hapo juu sijui wanajitetea vipi kwa maana Kadhi courts ni zao na walishaambiwa waanzishe kwa utaratibu wao wenyewe, na hili hawataki!

Hata kama watapeleka proposal, haitapita mpaka wakristo wakubaliane nayo!!!!!!!
 
Hivi kwa mfano, nimenunua quran kama mali yangu binafsi, je naruhusiwa kuitupa jalalani iwapo imechakaa au nimeichoka?

Na je, niki-download quran kwenye pc yangu, naruhusiwa kui-delete?- kiuweka kwenye recycle bin? Naomba majibu kwa yeyote asiye na jaziba. Nataka kufahamu tu.

Mimi siyo mwislamu, lakini kwanini usiheshimu kile mwenzako anachoamini hata kama wewe hukiamini? As long as anaamini kile ni Kitabu kitakatifu basi wewe kama huoni utakatifu wake usijishughulishe nacho maana ukikichukua na kukitupa yeye ataona kama vile umemdharau na ndipo hapo matatizo yanapoanzia.
Kuna mambo mengi tu watu uwa unaachana nayo kuepusha shari na ili maisha yaendelee bila bugudha. swali lako ni sawa uniambie mshahara wako au pesa ulizopata kwa jasho lako ukizichukua ukazichanachana kuna tatizo lolote.
 
nimeona itv kenye taarifa ya ya habari: kuna taasisi nyingine ya waislamu imepinga hayo maandamano ya tarehe 2...
 
hawa watakua chadema tu ndio wanaokojolea vitabu vitakatifu

vipi jumuiya imesahau zanzibar kuna muislamu naye alikojolea??? au yule ni sawa?

Unafiki wa hawa jamaa ni uliozidi kipimo. Jambo likifanywa na mwenzao hutafutiwa jina lkn likifanywa na Mkristo ni tatizo. Siku zote nimehoji chokochoko za Waislamu wa Tanzania kuhusu Israel na Marekani wanapokumbana na war casualties zinatoka wapi? Hebu pata hii picha

Hapa Sudan, Waislam weusi wameuawa kweli kweli na wanamgambo wa kiarabu wa Janjaweed, hakuna aliyekemea ya Darfur, lkn leo hii kwenye harakati za kupigana na magaidi kwa bahati mbaya akafa mwarabu mmoja Afghanstan basi utasikia mitaani wanafiki wakilaani.

Kwa hiyo kwao mauaji ya Muislam yakifanywa na muislam mwenzake hamna shida hata kama ni ya makusudi, shida ipo akifa kwa kugongwa na gari analoendesha mkristo.
 
Hata kama watapeleka proposal, haitapita mpaka wakristo wakubaliane nayo!!!!!!!
imagine hao watu waliandika kituko hapo juu ndiyo waandae proposal...tukiwaambia wapeni viongozi wa wenu wa dini elimu dunia hamtaki...
 
Hivi kwa mfano, nimenunua quran kama mali yangu binafsi, je naruhusiwa kuitupa jalalani iwapo imechakaa au nimeichoka?

Na je, niki-download quran kwenye pc yangu, naruhusiwa kui-delete?- kiuweka kwenye recycle bin? Naomba majibu kwa yeyote asiye na jaziba. Nataka kufahamu tu.

Kama vile ukinunua TV set yako ukipenda unaweza kuibwaga chini ikapasuka vipandevipande..... Unaweza kufanya hivyo????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom