kama kweli kuna mtu kakojolea Quran basi huu ni uchokozi wa dhahiri. Yule mtoto niliona ni utoto lakini sasa huyu mtu mzima kweli hapa Waislamu watakuwa wanachokozwa. Huyu aliye kojolea Quran yafaa apekwe mahakaman na afungwe miaka hata 3 na adhabu kali ili liwe fundisho kwa mtu yoyote kutodharau imani ya mwingine. Haya mambo tukiyachekea yatavunja amani kabisa maana naanza kuona logic kwenye madai yao.
hivi ile ya kule Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu kitabu hicho kwa kukikojolea kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yakekumpakata mbwa huyo keshashughulikiwa??