TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

ukweli ni kwamba nimechoka sana kusubiri, nmepata mtu wa kubadilishana nae na taratibu zote tulifanya, jamani mpaka sasa mwaka umepita hakuna linaloendelea mbaya zaidi hakuna taarifa inyotolewa tujue kweli inaumiza sana
 
Wewe ni kama mimi hivyohivyo daah inchosha sana!
 
Walioko halimashauri ya UKEREWE wameruhusiwa kuanza michakato ya uhamisho na kwa wale walio omba kabla ya uhakiki wanatakiwa kuanza upya. Je taarifa hizo ni za kweli wale wa ukerewe tia neno
 
Acheni uzushi.
IMG_20170717_133850.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom