TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

Hiyo hamna hata moja nliyopata nlikuwa wa kwanza, katika 5 zmekuja 4 moja haipo kwny mkeka na waliopata n diploma na moja n degree wa mwaka mmoja.
Screenshot_20220422-225147.jpg
 
Pamoja na nafasi kutangazwa na kutolewa majina yaliyokamilika kwa nafasi za ualimu, Nasikitika kuwa katika nasi ambazo zilionyeshwa kuwa kuna nafasi na watapangiwa watu katika nafasi hizo.

Kumbe zilikuwa hewa na TAMISEMI walijua hawawapangii watu kabisa katika nafasi hizo. La kujiuliza, kama walijua hawapangi mtu katika nafasi hizo kwanini hakuziondoa na kuweka nafasi ya watu kugombea kwa usawa nafasi zilizopo?

Katika nafasi zote hizo 5, amepangiwa mtu mmoja tu kwa shule ya Rutamba. Hizo nyingine zote hamna aliyepangiwa
View attachment 2272846
Ahahaaaa imeisha hiyo , kidagaa mmoja WA Tamisemi alisikika
 
Ajira za tamisemi za kishenzi sana ,bora kwenda kulima tu na si kutegemea hizi ajira , wamejazwa watu wa diploma na certificate

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa ni mwendo WA cheap labour Tu , nchi inasikitisha hii , halafu kuna mbuzi inakuja kulakamika ubovu WA elimu, ni ajabu mpaka leo nchi hii kuna diploma na certificate ya education , ni ufala Sana
 
Ivi certificate au diploma anauwezo kweli wa kufundisha mtot wa secondary mpaka kumefnya mtu wa bachelor degree aachwe achkuliwe yey, ndomaana ziro hazitoisha kweny shule za serikali kwa mfumo huu
 
Hizi ajira hazina upendeleo wowote ni kutimiza vigezo tyu. Tulio kosa tusife moyo japo MIMI HATA MAOMBI SIKUTUMA lakini wametenda haki sana
 
Hahaaaaa ni mwendo WA cheap labour Tu , nchi inasikitisha hii , halafu kuna mbuzi inakuja kulakamika ubovu WA elimu, ni ajabu mpaka leo nchi hii kuna diploma na certificate ya education , ni ufala Sana
Usisahau kwenye afya pia, eti nafas 244 za assistant clinical officer (wenye cheti) zimekosa watu inabid zitangazwe upya wakat clinical officer ( wenye diploma) wengi tu wameomba na wamewachinjia baharini
 
Unaangaliaje
Hii si lawama, ila nikotoa taarifa kuwa kinachofanywa watu wamekijua.. wakati mwingine kifanyike sahihi.. kulikuwa na shida gani kuweka nafasi zenye uhitaji hadi waweke nafasi hewa? Mtu aombe hewani abaki na tumaini angali wanajua fika hamna kitu? Kukosa si shida, shida ni uongo...
Changamoto aisee

Aisee namimi nimeangalia hapa ni shule moja tu kwa masomo niliyoomba ndio Ile nafasi imejazwa n mtu....
 
Hahaaaaa ni mwendo WA cheap labour Tu , nchi inasikitisha hii , halafu kuna mbuzi inakuja kulakamika ubovu WA elimu, ni ajabu mpaka leo nchi hii kuna diploma na certificate ya education , ni ufala Sana
Na kweli serikali inaangalia unafuu wa kwao..
 
Ivi certificate au diploma anauwezo kweli wa kufundisha mtot wa secondary mpaka kumefnya mtu wa bachelor degree aachwe achkuliwe yey, ndomaana ziro hazitoisha kweny shule za serikali kwa mfumo huu
Mifumo yetu inatakiwa kupitiwa upya..
 
Unaangaliaje

Changamoto aisee
Unaingia kwenye pdf halafu una find shule uliyoomba unaangalia waliochaguliwa na masomo yao. Kama somo lako lipo basi kachaguliwa ila kama hamna ina maana hamna aliyechukuliwa kwenye nafasi husika
 
Back
Top Bottom