TAMISEMI, Mfumo wa Usajili wa Leseni za Biashara (TAUSI) utarudi lini?

BRAND

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
295
249
Habari,

Ndugu zangu TAMISEMI habari zenu!

Tunapenda kujua kwanini mfumo wa usajili wa leseni za biashara (TAUSI) haufanyi kazi tangu wiki iliyopita kwanini? Lini mfumo huu utarudi na kuanza kufanya kazi tena?

Kuna watu wamekwama wanahitaji leseni kwaajiri ya maswala ya kibenk nk, sio kwaajili ya kuwa nayo tu!

Nimeambiwa ni karibu nchi nzima, yaani kila mteja mpya akitaka kujisajisiri kuomba leseni mfumo unakataa.

Naomba hili jambo lipatiwe utatuzi kuna mambo ya kibiashara yanakwama.
 
Hali ni mbaya sana kwa kweli. Sijui nchi tunaenda wapi ?
 
Back
Top Bottom