Na Tangazo walilitoa kwa mbwembwe sana.Serikali haiaminiki! Ni afadhari World Bank ndiyo wangekuwa wanalipa wenyewe!
Viongozi wote wakubwa Tumewasiliana nao ,ila hawana majibu yakueleweka.Inasikitisha sana, imagine una familia miez mi3 hujalipwa mshahara na huna mchongo mwingine zaid ya hiyo ajira maisha yanakuwaje? Hivi hata hao wagonjwa unakutana nao utakuwa na uwezo wa kuwahudumia kweli ili hali una njaa ? Serikali inakuchukuliaje hili jambo?
Poleni sana mkuuViongozi wote wakubwa Tumewasiliana nao ,ila hawana majibu yakueleweka.
Nimeomba uongozi wa jf wajaribu kushare kwenye platform zao za kijamii ila haijaweza kuwa hivyo.