Tambwe hiza, ahusisha migomo ya tanzania na chadema

Labda hana Mama. Msishangae kuna watu wengine walizaliwa wakatupwa jalalani wakaokotwa na wasamalia wema. Hawajui mama zao na walishadhurika kisaikolojia. Na huenda kweli alishalala naye bila kujua. Inaweza kutokea hasa kama mama yake alimzaa akiwa darasa la tano. Yaani kabinti ka miaka 12/13. By the time Tambwe anafikisha miaka 25 huyu mama yake atakuwa na miaka thelathini na kitu na kama hamjui aweza kutembea naye kabisa. Labda alishagundua hilo na sasa hana aibu nalo tena! Alaaniwe!
 
Haya matamshi yanamfanya A.L. Mrema ashindwe kutangaza kurudi CCM, ingawa anafanya kazi za CCM akiwa TLP. Mzee wa Kiraracha aliwahi kusema akirudi CCM ahukumiwe kunyongwa (sikumbuki ilkuwa kunyongwa mpaka kufa au kunyongwa tu), sijui wengine mnakumbuka pia?
 
nilikutana naye siku chache pale makao makuu lumumba kavaa t shirt kubwa,jeans na raba nyeupe kama msanii anayesubiri kupanda jukwaani kutumbuiza,tambwe ni zao la siasa za visa za makamba
 
Kumlala Mama mzazi hataweza, kinachomponza ni kauli aliyotamka akiwa na ghadhabu.
 
Hakuna haja ya kukimbizana naye huyo,

kwanza anadhihirisha Chadema ni kiboko yao pamoja na kwamba hawana jeshi la virungu(umma ndio nguvu yao)
Pili ni udhaifu wa chama chao, kwamba hakijishughulishi tena na matatizo ya watu.
Sasa wanakimbizana na mjumbe (CDM).

Ni kanuni ya kawaida, kila penye ombwe hata hewa inachukua nafasi, Tanzania tuna ombwe la uongozo ni wakati wa kuendesha mapambano kuondoa kasuku wa aina yake. Chadema ongoza mabadiliko haya bila kujali nani anasema kwani iko siku hawa kasuku wataimba wimbo mpya, wimbo wa mabadiliko.

Shame on you Tambwe and all of your fellow of the Makamba type, your dubious party as well.

Wataisoma hiyo hata kimoyo moyo Chadema go, go ahead!
 
Kumlala Mama mzazi hataweza, kinachomponza ni kauli aliyotamka akiwa na ghadhabu.

Ashapiga kitu....! Mbona yule 'mganga mashuhuri' nasikia yeye alimnyemelea mama yake akiwa amelala akamnyoa vuzi ili kuweka mambo yake sawa!
 
Hivi Wasambaa wote duniani akili zao ni kama za Tambwe na Makamba? Nauliza tu jamani msichukie watani zangu Wasambaa!

Ni Washamba-a! Teh teh teh. Poleni watani zangu Wasambaa. Ila muwakatae hao kina Makamba na Tambwe Hiza ili wajue kuna watu wenye akili huko Mtae, nk
 
Bila shaka atakuwa kesha mlala mamake huyo maama hata maneno anayoongea yanaonesha hivyo!!
 
Mhh kitengo cha PROPAGANDA cha CCM nafikiri kina laana ya Ulevi. Maana Mwanzilishi wa kitengo hicho alikuwa ni jamaa alowahi kuwa Mbunge wa CUF huko Zanzibar, jamaa aitwae SALUM MSABAHA, kwa wanamkumbuka huyu jamaa kabla hajakimbilia CCM na kupewa kitengo hicho cha UONGO, aliwahi dai kuwa alitekwa na kufichwa na CCM kwa karibu wiki nzima. Wiki moja baada ya kutoa madai hayo, alijiuzuru ubunge CUF na kuhamia CCM. Yule jamaa enzi zake akiwa CUF, alikuwa ustaadh wa nguvu HAMSA SALAWATU, Lakini wee baada ya kuingia tu CCM basi jamaa alianza kuyapiga maji ile mbaya. Kwa macho yangu nilimuona huko Mwanza, aliwahi kwenda kusaidia kutatua mgogoro wa kichama (CCM) uliokuwepo pale mwanza mjini. Nami nikiwa Mwanza Mjini kikazi nikakutana naye tukiwa sote ni wapangaji katika Guest house moja pale Mwanza karibu na Soko la Kirumba. Akiwa amevalia msuli, jamaa alimwagiza muhudumu wa guest kilaji cha Konyagi, basi sikuamini macho yangu, jamaa alikkuwa anakisogeza tartiibu kama hana akili nzuri vile. Kwa sio Ajabu hata huyu Hiza Tambwe akawa anayagida, maana Hiza amevutwa na Msabaha na wakawa wote katika ofisi mojaa!!!!! Japo siku hizi naona kama Msabaha katemwa kitengoni kinamna maana hasikiki sana kama zamani badala yake Tambwe Hiza ndio anasikika saaana.
 
Kumlala Mama mzazi hataweza, kinachomponza ni kauli aliyotamka akiwa na ghadhabu.
ukishasema hivyo akili yako imeshafanya tayali haijalishi mama yake yupo au hayupo, na laaana ipo palepale ndo maana anaonekana kichaa.
 
hiza aangalie alipo jikwaa na sio Alaumu alipo angukia Hivi chanzo cha migomo hii kweli ni CDM? Haya yanatokea kutokana na kero za muda mrefu na adhta ambazo wananchi wanazipata kila siku na hawaoni juhudi zozote za kuondokana na kero hizo wala kufahamishwa hata sababu ya mateso wanayoyapata Huku vipaumbele vya serkali ya ccm si kuwaondolea kero hizo bali vipaumbele vyao waliomadarakani ni ANASA na kutesa na ma VX Safari zisizo isha nnje ya nchi kuteuna kwenye nafasi nyeti kishikaji hadi nafasi 5 kwa mtu mmoja huku hakuna dhamira ya kweli kubuni ajira mpya walimu 16000 hawana ajira wakati shule hazina walimu ni aibu..... Wawaondolee hizo kero waone kama kuna mtu ATAGOMA AU KUANDAMANA Na itakuwa chama tawala na si chama twawala!
MBAAZI UKIKOSA MAUA HUSINGIZIA JUA!
 
Nakumbuka kwenye sakata la Richmond wakati wa mjadala uliopelekea waziri mkuu kujiuzulu waandishi wa habari walipomuuliza kwa mara ya kwanza kutoa ufafanuzi wa suala hilo Tambwe Hiza alibisha kuwa waziri mkuu hajajiuzulu wakati kila mtu hata mtoto mdogo alikua anafahamu. Huyu jamaa ni muongo, Mnafiki na Mwendawazimu kuliko wote nchini na pengine duniani.

Tambwe ni Kaburi jingine la CCM ukiacha Chiligati
 
Kwa kauli hiyo basi huyu alishalaaniwa, msameheni laana inamwandama.
 
Kwani Tambwe Hiza ni Mwanaume au Mwanamke? Naomba kuuliza tu! maana ana vijitabia Vya kishogashoga! kama ni mwanaume, amebahatika kupata watoto? na kama ni watoto wake kuna haja ya kuwathibitisha kwa Mkemia Mkuu katika vipimo vya DNA! maana anaweza kuwa amesahidiwa na wanaume halisi kupata watoto!

mkuu huko umeenda mbali sana
 
kama ccm wangenipa sasa project ya kuandika kitabu ningekipa jina la "ondoa hiza na makamba kuiponya ccm"
hawa jamaa n waropokaji kupitiliza
 
Who is Tambwe Hiza in Tz? Is tht ccm Papet anayetumika kama ganda la mua likiisha utamu wanalitupa.
Asituletee siasa za kipumbavu za kugues na kubabika, wameshindwa kutimiza madai ya wanchi na kuwanyima haki za msingi watumishi wa uma, kwani migomo inatokea hewani?

im sorry naombeni mwenye CV ya huyu pupet T.Hiza anipatie, tunaweza kuwa tunamlaumu mtu ambae kasomea chumbani au jeshini, mana ccm kwa kutumia vihiyo hawajambo.
 
Back
Top Bottom