Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,817
- 32,196
Hellow Africa 🌍
Mwili una unaushawishi mkubwa sana ambapo ukishindwa kabisa kuzizibiti mwisho wa siku una aangukia poor
Wanasayansi wanasemaga matendo yetu. Yanategemeana na vitu vitatu ID EG NA SUPER EGO hizi huwa zinavutana sana kila moja inataka ishinde mwili na akili pia zinategemana
Tamaa ya mwili inanguvu sana mwisho. Wasiku unajikuta umefanya jambo baba 😂