Tamaa mbaya MKE KALIWA

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
447
Tamaa mbaya ..... jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake
JAMAA: Shem nimekutamani ile mbaya.........
MKE; Hebu pisha uko, rafiki yako akijua? tena koma, na shika adabu yako!!
JAMAA: Nitakupa million 1 Ukikubali
MKE: basi njoo kesho mchana wakati mume wangu akiwa kazini' ...... Kesho yake jamaa akaja na Milioni 1 akamchakachua kisawasawa tena ki noma mke wa rafiki yake akamwachia Mlioni 1, .......Baadaye jioni mume karudi nyumbani na kumuuliza mkewe
MUME: Hivi John kaleta hela yangu Milioni 1
MKE: Huku akisita kwa sauti ya kigugumizi, akakubali "ndiyo"
MUME: Ndo maana nampenda sana rafiki yangu ni mwaminifu maana asubuhi kanikopa milion 1 jioni karudisha ....
 
Copying without acknowledgement is a sin
 
Ningesema hakuleta, kudadadadeki! Yaani hizi tamaa za pesa kweli zitawapeleka watu pabaya. Yaani huyo John ni balaa:nono:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom