Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Tatizo huyu demu ni cha uongo, trust me yaani anachokiongea na anachokifanya utofauti wake ni kama mbingu na ardhi,....huwezi amini alimvamia ba kenzo ofisini sijui shuleni kwake akampa kichapo cha mbwa mwizi, baba wa watu kamfungulia kesi na restrain order juuu..bahati yake Nyari ni mbeba nondo la sivyo nae angechezea makofi ya kufa mtuu...
hivi kwanini mange aliachana na lance yamesemwa mengi ila sijui tatizo ni lipi haswa
 
Kama Leo sijapigwa block cjui manake mi ni die hard fan wake...(Tahadhari humu JF ana Fekero ID kama chawa, alishaniambia DM)...so anakufatilia huku anaenda kukunyoosha IG
 
Kama Leo sijapigwa block cjui manake mi ni die hard fan wake...(Tahadhari humu JF ana Fekero ID kama chawa, alishaniambia DM)...so anakufatilia huku anaenda kukunyoosha IG
nani anamuogopa mange humu bwana?
alishaanika wangapi ? alipata nini zaidi ya majanga mama yangu mange siku anidhalilishe hatoamini nitamloga yaani atamzika mwanae mmoja huku anaona watu tumejipanga bana weee alisema uchawi hauvuki bahari basi ajaribu aje pm nimuambie mimi ni nani akanichambe halafu anipe siku saba kama hajafanya matanga mfyuuu!!!!
 
divorce ya mwendokasi
ila namuoneaga huruma basi tu
Huruma muhimu dear...mi nawaonea huruma kina Keanu asee, wadogo sana asee, halafu nasikia ba kenzo yuko njiani kujichukulia watoto wake very soon, ngoja mshiko ukae vizuri si unajua macontractor Dubai inawalipa kinyamaaaa...
 
nani anamuogopa mange humu bwana?
alishaanika wangapi ? alipata nini zaidi ya majanga mama yangu mange siku anidhalilishe hatoamini nitamloga yaani atamzika mwanae mmoja huku anaona watu tumejipanga bana weee alisema uchawi hauvuki bahari basi ajaribu aje pm nimuambie mimi ni nani akanichambe halafu anipe siku saba kama hajafanya matanga mfyuuu!!!!
Haaaaaa haaaa ......nimetokea kukupenda bure mdada si kwa kunivunja mbavu mweeee...
 
Hivi kweli inawezekana mtu ukawa umeacha matatizo ya familia yako ukaanza kujadili matatizo ya jirani?

Pamoja na mapungufu yote ya huyo mdada Mange, sijaona justification ya kujadiliwa hivi.

Kuna watu wanajiona kama malaika, kuwafanya wenzao kama mashetani.
 
Back
Top Bottom