takukuru wapo wapi?

jitukubwalao

Senior Member
Mar 29, 2011
194
161
wapendw waungwana jana huko Tarime ccm wamepigana na kurushiana viti je takukuru hawapo huko?kwani chanzo cha vurugu hizo ni rushwa,kwanini wasiwakamate watoa rushwa?:A S 465:
 
inachekesha ahahahahahahahhahahahahahhahahahaaaaa......weh mgonjwa
 
wapendw waungwana jana huko Tarime ccm wamepigana na kurushiana viti je takukuru hawapo huko?kwani chanzo cha vurugu hizo ni rushwa,kwanini wasiwakamate watoa rushwa?:A S 465:

Kiatu hata kiwe kipya na cha gharama lakini ukikiweka kitandani ni uchafu. so hata ikichekesha hapa si mahala pake.
 
Back
Top Bottom