Pressure zitawamaliza mwaka huu.
Unamhurumia SHETANI wewe vipi una matatizo ya kichwa?
Mkuu its just a matter of time kabla ya huyu SHETANI mamvi hajarudishwa ndani ya chupa.Ukimkandamiza shetani mmoja huku unachekacheka na mashetani wengine na kuwaruhusu waitumie taasisi nyeti kama TAKUKURU kwa maslahi yao binafsi tena ya kisiasa kamwe hutaleta ukombozi kwa nchi yako. Hii taasisi inatakiwa kuwa OBJECTIVE. Hizi subjectivity zinasababisha kikundi cha wateule wachache (MASHETANI) kuzidi kutunyonya huku wanalindwa
Tunataka wakamatwe wote, wa EL, wa Baba Mwanaasha, Mahakimu, Matrafiki, na mimi hapa kwani huwa nawapa rushwa ya buku mbili mbili trafic kila ninapovunja sheriaKwahiyo nyie viazi mlitaka wasikamatwe hao watu wa EL acheni ufukunyuku na ushiranga mijitu mizima ovyooooo wambea wakubwa mlaanike
Ukimkandamiza shetani mmoja huku unachekacheka na mashetani wengine na kuwaruhusu waitumie taasisi nyeti kama TAKUKURU kwa maslahi yao binafsi tena ya kisiasa kamwe hutaleta ukombozi kwa nchi yako. Hii taasisi inatakiwa kuwa OBJECTIVE. Hizi subjectivity zinasababisha kikundi cha wateule wachache (MASHETANI) kuzidi kutunyonya huku wanalindwa
Unaweza kufit zaidi pale kwenye Jahazi la Mzee Yusuph,.....Kwahiyo nyie viazi mlitaka wasikamatwe hao watu wa EL acheni ufukunyuku na ushiranga mijitu mizima ovyooooo wambea wakubwa mlaanike
if i am/(we) are less concerned then the post is placed in the wrong conduit. Jf is a public social media! Did you know that?
Based on your reply, the post targeted your family members (you-the poster, your wife and children) dont you think posting on the walls of your corridors, verandah, sitting room and bed rooms could suffice to reach your target? In this way it could be impossible for me to read and act on it. But if postetd in jf (the public social media) it becomes inevitable for the public including me to see/read it.