TAKUKURU imekataa kuwaruhusu viongozi wa TFF na Simba SC kwenda kushiriki usahili wa Wagombea TFF

yes sheria ichukue mkondo wake,ila hawa si innocent until mahakama iwaone na hatia?,sasa ikitokea wakashinda kesi yao,si watakuwa wameshapoteza haki yao ya kushiriki kwenye uchaguzi huu?jamani kama tuhuma fungua kesi,peleleza,kama unaona wana kesi peleka mahakamani,sio otherway round,halafu kisheria unaruhusiwa kumshikilia mtuhumiwa kwa masaa mangapi kabla hujampandisha mahakamani?
Wapo jela, sasa wataendaje kwenye usahili?
 
malinzi mpigaji tu aliniacha hoi kuipeleka camp stars huko egypt wakati mechi inachezwa chamanzi.
 
Safi sana kuna watu sio wapenda soka wanaingia kwenye nafasi hizo kwa maslahi binafsi ikiwezekana wapitishe sheria ya kunyonga yeyote anaethibitika kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya fedha za umma kuanzia kwa wanasiasa,.na viongozi wa kwenye taasisi nyingine
 
Hongera mkuu Kurzweil,ama kweli uko jikoni since February umemkaanga muhaya hapa jukwaa kuu hadi katekwa [HASHTAG]#Tembele4PresidentTff[/HASHTAG]
 
Sio
Ni upumbavu kulihusisha hili tukio na siasa...

Yaani huyu Malinzi kaliharibu soka la Tanzania bado watu wale wale walio kuwa wanataka Malinzi ajiuzulu ndiyo hao hao tena wanakuja kutetea aachiwe na kuendeleza wizi wake hapa TFF...

Tanzania ni nchi ngumu sana kuwaongoza watu wake.... Unatakiwa uwe mtu wa kula sana viroba.....
Sio wote mkuu , wengine wametumwa kupotosha umma
 
Discussion zilifanyika kihaya nadhani mara malinzi sijui mwesiga na wengineo ilikua chonka iwee tu humo
 
Kwani nani kiongozi wa shirikisho la Soka kule zambia?
Ahsante
Nafikiri mpira iliuweze kusonga mbele inabidi wakae watu ambao waliucheza wanaujua maana wanajua maumivu walipokuwa uwanjani hivyo watautendea haki nikiangalia mfano mdogo tu Zambia waliwezafanya vizuri wanaongozwa na MTU anayeujua mpira ss kwetu MTU kiongozi hata kupiga danadana kumi hawezi kitakachompeleka pale ni kupiga hela tuu sio kuongoza kiweledi.
 
Tumeona Leo rais wa tff na katibu wake wamepanda kizimbani pia tukashuhudia rais wa simba na makamu wake wakipanda kizimbani.vipi wale wa vijisenti na hela za mboga MBNA wanapeta tu uraiani????
 
Back
Top Bottom