pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,772
- 13,839
Nilipowaona wakisifia nilijua wazi kuwa kuna kitu 'kimeoza nyuma ya pazia' na kweli, kumbe kusifia kwao ni sehemu ya kuficha ujinga uharamia wao. Hawa ngosha hawa!Hawa ndio walitoa tuzo na sifa kemkem kumbe nyuma yao mafisadi..walidhani wako salama .....