Kuna dada mmoja maeneo ya kimara mwisho naye yalimkuta hayo.Alijikuta anawapeleka matapeli waliodai ni waganga nyumbani kwake.Walimwambia kwamba walioteshwa kuhusu matatizo aliyonayo na kwamba wangempatia tiba.Dada alijikuta akiwapeleka home na kuwakabidhi bila hofu wala wasi TV,radio,woofer n.k.Ile jamaa wanampa kisogo tu ndo akastukia jina la mchezo kwamba keshapigwa na wajanja,i mean ameogeshwa roundabout saa 6 mchana kweupeeee bila ukungu.
huyo nyoka alimng'ata sehemu gani ya mwili!!!ulishang'atwa na nyoka nini?
Pole sana, ila tamaa na kutokuwa na malengo, pindi utokapo nyumbani unatakiwa kuwa na ratiba,natoka nyumbani naenda ofisini na nitatumia muda fulani,nikitoka hapo naenda point b thn c nakuendelea.
Angalizo:
Tusiingize biashara nyingine katika muda ambao si wake
Inabidi kuwa bubu kidogo ili kuokoa mali zako.
Yeah ni kweli watu wameanza kuwa na elimu + maarifa halafu kazi hakuna kwa hiyo wanajaribu plan B's.
huyo nyoka alimng'ata sehemu gani ya mwili!!!
Asante kwa taarifa mkuu. Tunaahidi tutajitahidi kuwa macho kwa moyo wetu wote.