GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,157
- 110,627
Tatizo lako Kubwa unapenda kusikiliza Ushauri wa Watu wenye Vipesa Uchwara wanaokuzunguka na ambao ndiyo wanakuumiza kila Siku Azam FC yako ikicheza na Yanga SC ila Mawazo yenu Mema na ya Kimaono yetu Sisi Masikini akina GENTAMYCINE unayapuuza.
Yusuf Bakhressa tumeshakuambia sana tu kuwaondoa Klabuni Kwako ( Azam FC ) akina Kalimangonga Ongala na Aggrey Morris ( ambao Wote ni wana Yanga SC lia lia ) hakukutosha bali ondoa hadi Watendaji wako Wote wakiongozwa na CEO Popat, Kaimu Msemaji Ibwe, Kocha wa Makipa Mzawa, Daktari Mzawa na Meneja ambao Wote hawa ni wana Yanga SC lia lia ila husikii na Wewe unachojua ni kubadili tu Makocha ambao kwa bahati mbaya zaidi hata Makocha wenyewe nao unaowaleta si Makocha Bora bali ni bora Makocha tu.
GENTAMYCINE nakushauri Tajiri Yusuf Bakhressa ni kheri tu hizo zako nyingi Unazozipoteza Kuihudumia na Kuihangaikia Azam FC yako ukazielekeza katika kusaidia Watoto Yatima, Wajane, Wazee na Wahitaji ili upate zaidi Baraka zao na Mambo yako yakunyookee zaidi Kibiashara na Kimaisha.